Wanasimba wengi wanajaribu kumtisha Yanga dhidi ya Al Ahyl wakihofia akishinda nyuso zao wataziweka wapi

Kumbe mnajua mnafukuzia rekodi za Simba. Lakin mnaweka vichwa ngumu kujifanya wakubwa.
 
Kumbe mnajua mnafukuzia rekodi za Simba. Lakin mnaweka vichwa ngumu kujifanya wakubwa.
Siyo rekodi za Simba,tunatafuta zetu wenyewe

Mwenye hofu ni Simba kuwa tunaenda kumpita

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Kuuliza
Nilikuwa nataka kujua kitu kwani mimi ni mwanafunzi.
Nilitaka kuona tu takwimu ya hizo timu mbili kwenye trend mitandaoni. Inasaidia kwa watu wa marketing.
Trend zinacheza!?

( ndiyo zinacheza nikimaanisha kupanda na kushuka)
 
Simba wanacheza mwaka huu nyie utopolo mnacheza nao mwakani.

Sasa Simba wanawatisheni Vipi??

Kati ya Mechi ya Simba na Al ahly na Yanga na Al ahly ipi inatangulia.

Mnajtisha wenyewe halafu mnaleta uzushi kwamba mnatishwa!!!
 
Ok,unataka kujua head to head zao walipokutana?
 
Tumewatamguliza mgambo,mkizidiwa na tunaingiza jeshi

Make Kwa kutulia,
 
Tumewatamguliza mgambo,mkizidiwa na tunaingiza jeshi

Make Kwa kutulia,
Mmemtanguliza vipi wakati nyie hamna sifa ya kucheza haya mashindano ya wababe wa Afrika?nyie sio levels za Simba,Simba keshacheza nusu fainali Klabu Bingwa, Viongozi wenu wanajua kuwa nyie ni wachovu huku ndio maana wamesema malengo yao ni makundi tu
 
Tungekuwa hatuna sifa,tungekuwa hapa!?

Aahaaaa
 
Medeama vs Young Africans

Full-time, 26 Jul 16

Medeama

3

Young Africans

1

Full-time, 16 Jul 16

Young Africans

1

Medeama

1

All times are in East Africa Time
 
Medeama vs Young Africans

Full-time, 26 Jul 16

Medeama

3

Young Africans

1

Full-time, 16 Jul 16

Young Africans

1

Medeama

1

All times are in East Africa Time
Mwaka gani!?
 
Ok,unataka kujua head to head zao walipokutana?
Hapana kaka hizo mbona ziko wazi, rejea bandiko la muandishi kuhusu trend mitandaoni.

Mfano wa ninachotaka kujua kutoka mitandaoni yanga katazamwa mara kadhaa na simba mara kadhaa toka makundi yatangazwe.
 
Sawa,ingia kwenye bio Yanga hapa jf Kuna uzi niliuposti humu utafute nshakutag
 
Nonsense
 
yanga kwa sasa haitishwi na mtu yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…