Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote hizi kelele ni hofu tu
Wanaleta kkejeri Ili tuvunjike moyo tu na tukate tamaa tuache kuthubutu
Wanajaribu kumtisha Ili tufyate mikia Ili tusifike walipofikia wao wakihofia tutafanaa na wote tupate sifa moja wakose la kuturingia
Liwalo na liwe Yanga hana la kupoteza apambane tu
Trend zinacheza!?
Ok,unataka kujua head to head zao walipokutana?Kuuliza
Nilikuwa nataka kujua kitu kwani mimi ni mwanafunzi.
Nilitaka kuona tu takwimu ya hizo timu mbili kwenye trend mitandaoni. Inasaidia kwa watu wa marketing.
( ndiyo zinacheza nikimaanisha kupanda na kushuka)
Tumewatamguliza mgambo,mkizidiwa na tunaingiza jeshiSimba wanacheza mwaka huu nyie utopolo mnacheza nao mwakani.
Sasa Simba wanawatisheni Vipi??
Kati ya Mechi ya Simba na Al ahly na Yanga na Al ahly ipi inatangulia.
Mnajtisha wenyewe halafu mnaleta uzushi kwamba mnatishwa!!!
Mmemtanguliza vipi wakati nyie hamna sifa ya kucheza haya mashindano ya wababe wa Afrika?nyie sio levels za Simba,Simba keshacheza nusu fainali Klabu Bingwa, Viongozi wenu wanajua kuwa nyie ni wachovu huku ndio maana wamesema malengo yao ni makundi tuTumewatamguliza mgambo,mkizidiwa na tunaingiza jeshi
Make Kwa kutulia,
Tungekuwa hatuna sifa,tungekuwa hapa!?Mmemtanguliza vipi wakati nyie hamna sifa ya kucheza haya mashindano ya wababe wa Afrika?nyie sio levels za Simba,Simba keshacheza nusu fainali Klabu Bingwa, Viongozi wenu wanajua kuwa nyie ni wachovu huku ndio maana wamesema malengo yao ni makundi tu
Hapana kaka hizo mbona ziko wazi, rejea bandiko la muandishi kuhusu trend mitandaoni.Ok,unataka kujua head to head zao walipokutana?
Sawa,ingia kwenye bio Yanga hapa jf Kuna uzi niliuposti humu utafute nshakutagHapana kaka hizo mbona ziko wazi, rejea bandiko la muandishi kuhusu trend mitandaoni.
Mfano wa ninachotaka kujua kutoka mitandaoni yanga katazamwa mara kadhaa na simba mara kadhaa toka makundi yatangazwe.
NonsenseHuyu Al Ahyl Hana maajabu yeyote ya maana
Na siku zote Ili uwe bora na lazima upambane na aliye bora Ili kupitia yeye na wewe upande chati.
Simba hazingumziwi sana kwenye haya mashindano kwakuwa ni kawaida yake kuishia robo,hana kipya
Yanga ndiye anayetrend kwakuwa ni first time kuingia makundi,kama haitoshi wanasimba wengi wanakhofu anaweza fanya kama mwaka jana kwenye shirikisho
Hivyo hizi kelele zote ni hofu tu wanasimba kuwaona Yanga anataka kuwapoka kiti cha Ufalme wa Ugiant wa Kimataifa
Kelele hizo zote ni hofu tu,imejificha kwenye kejeli na dharau,
Huyo Al Ahyl anachapika vizuri tu,kama nyie mmeshindwa tuachieni
Eti huyu Al Ahyl anayegeuzwa kama chapati na Mamelodi ndo wakututisha siye,ahaaaaaa
Waarabu hawana maajabu yeyeto,
Btw,rekodi za nyuma hazichezi mpira wa Leo,
Wanasimba punguzeni khofu,Al Ahyl hana maajabu yeyote
View attachment 2774429View attachment 2774430
Sawa,Simba yupo kundi gumu na ni mbabe,
Nimeitunza hiyo
Na Yanga yupo kundi rahisi ila yeye ndo mbovu,
Naitunza hiyo pia
yanga kwa sasa haitishwi na mtu yoyoteHuyu Al Ahyl Hana maajabu yeyote ya maana