Wanasimba wengi wanajaribu kumtisha Yanga dhidi ya Al Ahyl wakihofia akishinda nyuso zao wataziweka wapi

Wanasimba wengi wanajaribu kumtisha Yanga dhidi ya Al Ahyl wakihofia akishinda nyuso zao wataziweka wapi

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Huyu Al Ahyl Hana maajabu yeyote ya maana

Na siku zote Ili uwe bora na lazima upambane na aliye bora Ili kupitia yeye na wewe upande chati.

Simba hazingumziwi sana kwenye haya mashindano kwakuwa ni kawaida yake kuishia robo,hana kipya

Yanga ndiye anayetrend kwakuwa ni first time kuingia makundi,kama haitoshi wanasimba wengi wanakhofu anaweza fanya kama mwaka jana kwenye shirikisho

Hivyo hizi kelele zote ni hofu tu wanasimba kuwaona Yanga anataka kuwapoka kiti cha Ufalme wa Ugiant wa Kimataifa

Kelele hizo zote ni hofu tu,imejificha kwenye kejeli na dharau,

Huyo Al Ahyl anachapika vizuri tu,kama nyie mmeshindwa tuachieni

Eti huyu Al Ahyl anayegeuzwa kama chapati na Mamelodi ndo wakututisha siye,ahaaaaaa

Waarabu hawana maajabu yeyeto,

Btw,rekodi za nyuma hazichezi mpira wa Leo,

Wanasimba punguzeni khofu,Al Ahyl hana maajabu yeyote

Screenshot_20231007-144557~2.png
Screenshot_20231007-144649~2.png
 
Upo sahihi mkuu... Uzuri rekodi zipo wazi Simba anaishiaga robo fainali Ila Yanga yeye hua anaishia Fainali... [emoji28]
Zote hizi kelele ni hofu tu

Wanaleta kkejeri Ili tuvunjike moyo tu na tukate tamaa tuache kuthubutu

Wanajaribu kumtisha Ili tufyate mikia Ili tusifike walipofikia wao wakihofia tutafanaa na wote tupate sifa moja wakose la kuturingia

Liwalo na liwe Yanga hana la kupoteza apambane tu
 
Na uzuri wadogo zetu wataanza kwanza kucheza naye! Tena kwenye mashindano ya mtoano. Halafu kaka zao tutakutana naye kwenye makundi.

Tamu sana hii. Dogo anapigwa nje ndani, halafu kaka anakuja kulipa kisasi huku akiwa na hasira kali.
 
Naomba uweke stats za trending to prove your point, Zaidi ya hapo inakuwa ni kama stori tu.
Stats hazichezi,kama zingekuwa zinacheza Yanga asingefika pale juu mwaka jana
 
Zote hizi kelele ni hofu tu

Wanaleta kkejeri Ili tuvunjike moyo tu na tukate Tamara yuache kuthubutu

Wanajaribu kumtisha Ili tufyate mikia Ili tusifike walipofikia wao wakihofia tutafanaa na wote tupate sifa moja wakose la kuturingia

Liwalo na liwe Yanga Hana la kupoteza apambane tu
Ni watani wa jadi lazima kutiana kitumbo joto. Ila napenda nione siku WaTZ tukishikana mikono kwa mambo kama haya.
 
Na uzuri wadogo zetu wataanza kwanza kucheza naye! Tena kwenye mashindano ya mtoano. Halafu kaka zao watakutana naye kwenye makundi.

Tamu sana hii. Dogo anapigwa nje ndani, halafu kaka anakuja kulipa kisasi huku akiwa na hasira kali.
Tumewatamguliza mgambo,wakishindwa wanajeshi tunaingia kazini
 
Sio first time kijana
Sema baada ya miaka 25
Hili kundi lenu sio gumu
Ila ninyi ni wachovu.

Mnampigia Hesabu Medeama ambaye na yeye anawapigia hesabu ninyi.

Msipokuwa makini mtafanya kama mwaka 1998 kwa kuwa wa mwisho
Naitunza hii risiti kuwa kundi letu siyo gumu bali Yanga ndo mbovu

Usije ukabadili usemi baade
 
Naitunza hii risiti kuwa kundi letu siyo gumu bali Yanga ndo mbovu

Usije ukabadili usemi baade
Tunza mkuu
Lakini embu angalia kundi A na Kundi C
Halafu jilinganisheni na niniyi.
Nasema hivi mpo kundi jepesi ila ninyi ni wachovu
 
Tunza mkuu
Lakini embu angalia kundi A na Kundi C
Halafu jilinganisheni na niniyi.
Nasema hivi mpo kundi jepesi ila ninyi ni wachovu
Sawa,Simba yupo kundi gumu na ni mbabe,
Nimeitunza hiyo

Na Yanga yupo kundi rahisi ila yeye ndo mbovu,

Naitunza hiyo pia
 
Tunza mkuu
Lakini embu angalia kundi A na Kundi C
Halafu jilinganisheni na niniyi.
Nasema hivi mpo kundi jepesi ila ninyi ni wachovu
Tunza mkuu
Lakini embu angalia kundi A na Kundi C
Halafu jilinganisheni na niniyi.
Nasema hivi mpo kundi jepesi ila ninyi ni wachovu
Mpira hauchezwi kwa macho kaka.
 
Back
Top Bottom