Wanasimba wenye 51% ya umiliki na maamuzi wako wapi? Mo mwenye 49% ana nguvu mno kiasi hiki?

Wanasimba wenye 51% ya umiliki na maamuzi wako wapi? Mo mwenye 49% ana nguvu mno kiasi hiki?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Mo anawapelekea sana moto simba.

Ni kama vile ana 100% ya hisa.

Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??

Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k

Hawa wenye 51% wako wapi???
 
Hivi bado tu mnateseka na mo?,, sisi kama simba tumeridhia na huo mnaouita ujanja as long as makombe yanakuja ila wewe na utapu tapu wenzio kama hamjaridhia nadhani mngeenda cas kufungua kesi juu ya uwekezaji wake pale simba,,, nakukumbusha tu na leo utapu tapu kadroo tena huko lkn bado mnahangaika na mo
 
MANARA:: BACK TO BACK ///// sisi utopolo tunawachora tu hahahahahahahahha
Mo anawapelekea sana moto simba.

Ni kama vile ana 100% ya hisa.

Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??

Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k

Hawa wenye 51% wako wapi???
 
Mo keshanunua wale njaa njaa
Yanga Wana bahati Wana JK .
Hataki ujinga..keshasema marufuku muwekezaji kujifanya mmiliki wa timu

Simba hata hiyo 51 ya makaratasi wamshukuru Mwakyembe ... vinginevyo mhindi alikuwa Keshaibeba bure kabisa
Alafu anasema hanufaiki. Anaisaidia tu Simba kwa mapenzi [emoji23][emoji23]
e88248d7d761e6b4cb749567c54c7747.jpg
 
Mo anawapelekea sana moto simba.

Ni kama vile ana 100% ya hisa.

Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??

Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k

Hawa wenye 51% wako wapi???
51% wametoa sh ngapi?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Jiulize hao wenye 51%
Ndio wanagharimia matumizi ya timu kwa sasa ?
Au hujui mwenye fedha ndiye wenye maamuzi.

Au umeamua tu kujitoa ufahamu.
 
Mo anawapelekea sana moto simba.

Ni kama vile ana 100% ya hisa.

Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??

Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k

Hawa wenye 51% wako wapi???
Hivi hao wanasmba wenye hisa 51% wametoa shi ngapi kwenye account ya simba company
 
Mo anawapelekea sana moto simba. Ni kama vile ana 100% ya hisa. Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli?? Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k. Hawa wenye 51% wako wapi???
Hakuna shida, ili mradi makombe yote muhimu yanajaa kabatini. Wakati Luis anasajiliwa Simba haukuuliza nani amelipia usajili, ila wakati anauzwa ndio unajidai kama vile Luis alikuwapo Simba tangu enzi na kuhoji kwa nini anauuzwa! Hivi vichwani tumebeba nini jamani?
 
ka
Mo keshanunua wale njaa njaa
Yanga Wana bahati Wana JK .
Hataki ujinga..keshasema marufuku muwekezaji kujifanya mmiliki wa timu

Simba hata hiyo 51 ya makaratasi wamshukuru Mwakyembe ... vinginevyo mhindi alikuwa Keshaibeba bure kabisa
kabla ya mo simba ilikuwaje
na baada ya mo imekuwaje
yaani mtu atoe hela zake asipate faida

dahh inasikitisha sana
 
Kama zisingekuwa na manufaa, asingeziweka maana hizo sio urembo. Simba ina fanbase kubwa, kuweka minembo ya products zake hapo kama 'wasudani' ni wazi ya kwamba anafaidika kibiashara. Na ndio maana aliiacha African Lyon na Singida united, huko hakuna base kubwa ya kupandisha market ya bidhaa zake! So mtindo wa kulalamikalalamika kana kwamba anachunwa tu, hamna apatacho, ni UONGO
Hizo logo unaweza kuelezea zinamfaidisha vip
 
Ili timu irudi kwenye mstari ( kwa wananchi), basi ni lazima Bara bara aondolewe kwenye hiyo nafasi. Naona anashindwa kutenganisha mapenzi na kazi mwishowe ataizamisha kabisa timu. Moo naye kazidiwa mahaba anakuwa kama zombie hata hawezi kutoa maamuzi ya kiume. Kimsingi Moo ni mtu mzuri ila kama Samsoni kwa Delilah, amelemewa na mahaba. Msaidieni kwa kumtimua Bara bara ili timu isizidi kudidimia shimoni.
Tangu Bara bara aingie kwenye hiyo nafasi hamna cha mno alichoweza kukifanya. Leo hii timu haina uwezo wa kumshinda mtani wa jadi hadi mfanye figisu wachezaji wa mtani wapewe kadi nyekundu, wacheze 'nusu', ndio muweze kushinda mechi, sasa hapo utasema kuna timu?
Looh, Aibu yenu!
 
Kama zisingekuwa na manufaa, asingeziweka maana hizo sio urembo. Simba ina fanbase kubwa, kuweka minembo ya products zake hapo kama 'wasudani' ni wazi ya kwamba anafaidika kibiashara. Na ndio maana aliiacha African Lyon na Singida united, huko hakuna base kubwa ya kupandisha market ya bidhaa zake! So mtindo wa kulalamikalalamika kana kwamba anachunwa tu, hamna apatacho, ni UONGO
Mimi nimeuliza unaweza kuelezea ni mechanism gani inayofanya hizo logo zimuingizie pesa.

Unaweza ukaweka range ya kiasi anachopata kwa yeye kuweka logo kisha ukafanya cimparison na kiasi anavhokitoa yeye kuendesha timu?

Kama timu inaingiza hela na kufanya vizuri kupitia hela zake alizo invest huoni hapo ni kama anatoa mfuko wa nyuma ana hamishia mfuko wa mbele?

Kumbuka nauliza haya nikiwa na maana
 
Back
Top Bottom