Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Huenda wangefika zaidi ya hapo!Sasa Simba walifika kwenye robo final ya club bigwa ya Africa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda wangefika zaidi ya hapo!Sasa Simba walifika kwenye robo final ya club bigwa ya Africa?
Hao ndo wamiliki wa timu, wakadi za uanachama ambazo wanazilipia kila mwaka na kulingana na katiba wao ndio wanasauti kubwa ya maamuzi kuliko mwekezaji. Lakini kwetu mwamedi ndo anasaut zaid, bodi anachagua yeye, tenda zote yeye usajiri wafanyakazi mikataba, everythng mwamed, come on! Mpo wapi wenye timu!???Hao wanachama kwenye hayo makubaliano wao wameweka shingapi?
Hivyo ulivyotajiwa hapo vithamanishe alaf ndo utajua ni bei gani.nimeuliza kwenye hayo makubaliano yaliyo husisha pande mbili kati ya Mo na wanachama, kwasababu pesa ya mo inajulikana je hao wanachama wametoa bei gani?
Bro, elimu inahitajika sana. Watu wengi hawana idea kabisa. Wanaona kama vile mo anatoa msaada mkubwa wa kisamalia.Una ufahamu wa biashara angalau kidogo?
Kwani wewe unavyofikiri hivyo vitu nilivyoorodhesha vina gharama gani?
Au labda jiulize, kibanda cha mpesa Kariakoo na kibanda hichohicho cha mpesa Kerege kipi kina thamani?
Kwenye biashara, Cash, Cheque ni asset kama zilvyo assets nyingine nyingi tu (billions of them) including Goodwill.
Yaani hata kumuelezea mtu kwamba na nyinyi mashabiki mna thamani, anakataa anasema hatuna thamani yeyote.Bro, elimu inahitajika sana. Watu wengi hawana idea kabisa. Wanaona kama vile mo anatoa msaada mkubwa wa kisamalia.
Peleka maoni yako kwenye mkutano wa wanachama wa Simba.Openess yake na ufanyike uchunguzi jinsi uendeshaji wa simba ulivyo CEO wa sasa step out sababu utaratibu wa uliotumika haukuwa wa haki yeye abaki na hizo hisa zake utendaji ubaki kwa simba kama simba management na body ya sasa ivunjwe maana yote kaichague yeye na kajipa uenyeketi yeye kuwe na ukaguzi wa kifedha kwa miaka yote minne
Sauti bila hela ni kelele, club inahitaji pesa za uhakika na sio sauti ambazo zikiruhusiwa ziwe muongozo mwsho wake ni kutembeza bakuliHao ndo wamiliki wa timu, wakadi za uanachama ambazo wanazilipia kila mwaka na kulingana na katiba wao ndio wanasauti kubwa ya maamuzi kuliko mwekezaji. Lakini kwetu mwamedi ndo anasaut zaid, bodi anachagua yeye, tenda zote yeye usajiri wafanyakazi mikataba, everythng mwamed, come on! Mpo wapi wenye timu!???
vithaminishe wewe ambaye unaviona vinathamani ya kuendeshea club, kulipa mishahara wachezaji, usajili na marekebisho ya uwanja nkHivyo ulivyotajiwa hapo vithamanishe alaf ndo utajua ni bei gani.
hahaha we ebu apia kua huo si utani?Nawewe jaribu kulinganisha umaarufu wa bidhaa za mo kabla na baada ya kuingia simba. Simba imemsaidia kupanua brand za biashara zake na utajiri wake umeongezeka maradufu.
Nikukumbushe kua Mwaka 2017 Mo alikua tajiri namba nne tanzania. Lakin angalia sasahiv.
Sasa si ndio ingebidi wakomae na ligi kuu ili wabust biashara yao?sababu za vodacom kujitoa ligi zimeelezwa waziwazi ni anguko la biashara baada ya line nyingi kufungiwa kutokana na usajili
Arsenal imemlipa bei gani Rwanda inayomfaidisha rwanda?Mo ndio Rwanda, Arsenal ndio Simba nani ananugaika hapo?Unadhani Rwanda mwenye logo anatoa charity? Mo analipia logo zile? Unajua biashara na umiliki ni vitu tofauti?
You do not know anything and you do not have any insight of investment issues, you are female, many scriptures but understand zero,Sasa wewe ndiyo ulioingilia mada kinyumenyume exposing your gaping tunnel.
Issues hapa ninazojitahidi kumuelezea ni mbili.
Kwanza, wanachama na mashabiki wa Simba wameweka nini? Wewe unaamini hawajaweka kitu chochote?
Regardless of how organized/disorganized they were, mashabiki na wanachama wa Simba na klabu Yao kabla ya uwekezaji walikuwa na thamani fulani.
MO kuamua kuwekeza 20bn na wanachama kukubali hilo, siyo favor. Wangekuwa more organized, Simba hata isingehitaji mwekezaji wa 20bn for 49% stake. Hiyo ni bajeti ya 8bn a year ambayo Yanga inaelekea kuitumia bila mwekezaji.
Kwa hiyo, usitake kutuambia wanachama wa Simba walikuwa hawana kitu cha thamani. You should at least put a figure instead ya kusema eti they had nothing. They had more than 3.5 bn a year, if we'll organized.
Sportpesa, uhl, Kariakoo derby na Simba day pekee zilikuwa zinaingiza almost 2bn a Year. With a bad or non existent organization.
With a well organized (just fixing the leadership) ingekuwa zaidi.
Hapo hatujazungumzia fixed assets ambazo at least ni 1bn.
Utasemaje wanachama walileta nothing??
Pili, wether agreed or not tender ya matangazo haikuwa open. Kosa la MO au wanachama hiyo ni juu Yao Ila tenda haikuwa open hivyo hujui hata wewe how long MO "protector" will be on the jersey and when "Azam cola" will be able to bid on that spot.
Hiyo siyo fair competition na haiipi optimum profit Simba as a Corporation.
Kwa hiyo. wether MO played SSC or not, that's none of my business as I'm not a fan of that club and honestly I don't wish it well.
But the point I was making was, Simba Sports Club as a part-owner came up with something. Hiyo ndiyo wapuuzi kama nyinyi hamtaki watu waamini.
What an arse, you didn't even come up with a figure.
Kama anasababisha tunashinda vikombe na tunawahenyesha uto achukue tu hisa zoteMo anawapelekea sana moto simba.
Ni kama vile ana 100% ya hisa.
Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??
Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k
Hawa wenye 51% wako wapi???
I actually do understand a thing or two.You do not know anything and you do not have any insight of investment issues, you are female, many scriptures but understand zero,
Mi nikajua Mo ndio analipwa na club kwa kuweka logo kumbe kisheria yeye ndio anatakiwa alipwe, sasa hapo mbona club ndo inafaidika na sio Mo?
Hizo kelele za kusema Mo anafaidika kwasababu ya logo mbona kama ukizichenjua ni kama porojo tu?
biashara hiyo anatangazaHizo logo unaweza kuelezea zinamfaidisha vipi?
Mwanangu unazingua! Inaonesha hujui chochote kuhusu matangazo ya biashara!Arsenal imemlipa bei gani Rwanda inayomfaidisha rwanda?
Rwanda kafanya vile kama sacrifice tu pata potea lakini hakuna uhakika wowote kwamba anaenda kuirudisha pesa hiyo kwa kipindi hicho cha miaka mitatu kupitia utarihi ambao umechangiwa na arsenal
Rwanda hata akisema kapata hasara kwenye hiyo deal utatumia hoja gani kum prove wrong?
Arsenal ndio yupo kwenye angle ambayo hapati hana cha kupoteza sasa hapo mnufaika huoni kama ni arsenal?