Mechanism rahisi sana. Unapotangza unakuza mauzo.
Matangazo ni 10% to 30% ya total earnings. Kwa hiyo mapato yake ni mara tatu mpaka kumi ya gharama ya kutangaza. Kama alitumia 200mil, basi itamuingizia milioni 600 mpaka bilioni 2. Tufanye average ni 1bn.
Mo anatoa 5bn a year lakini, kabla hajatoa bilioni 20 alikuwa tayari ana mamlaka yote ya kiuendeshaji kwa miaka minne. Kwa hiyo msichukulie kama alikuwa anawafanyia favors. Bilioni 20 ikinunua Government bonds inaweza kukupa 3.4bn a year.
Maana yake, angetoa hizo 20bn kabla ya kujitwalia madaraka, Simba ingekuwa na uwezo wa kuingiza 3.4bn a year bila kuambiwa kuwa huo ni msaada. Kwa hiyo ondoa fikra kuwa Mo alikuwa anatoa msaada Simba.
Kitu ambacho Mo analaumiwa kwenye hii issue ni openness. Tenda hiyo ya matangazo ya jezi ilikuwa competitive? Ilikuwa open? Je, Simba ingeweza kupata hela zaidi kwa matangazo ya mgongoni? Kutoka kwa wadau mbalimbali kitaifa na kimataifa kama tenda ingekuwa wazi?
Kuwa mwanachama smart.