Wanasimba wenye 51% ya umiliki na maamuzi wako wapi? Mo mwenye 49% ana nguvu mno kiasi hiki?

Nenda simba waulize ni kiasi gani kinahitajika ili wakuwekee logo ya biashara yako kwajili ya matangazo,
Maana yake hapo mo mwenye kuwekewa hizo logo ndio anayetoa huo mpunga na sio timu kumpa mo si ndio?
 
Kwa timu za wenye akili mfano ulaya unailipa timu pesa ndefu saa mo bureeeeeee
Mi nikajua Mo ndio analipwa na club kwa kuweka logo kumbe kisheria yeye ndio anatakiwa alipwe, sasa hapo mbona club ndo inafaidika na sio Mo?

Hizo kelele za kusema Mo anafaidika kwasababu ya logo mbona kama ukizichenjua ni kama porojo tu?
 
Ana hoja na sio kumbeza.
Kwa nini vodacom wamejitoa kudhamini ligi wakati logo yao ipo kwa kila timu? Tueleze mtalaamu, kama kuweka logo kwenye jezi kuna leta faida ya moja kwa moja, inakuwaje voda wamekimbia faida?
Kabisa mkuu tena vodacom nao wamedai kua wamejitoa kwasababu wanapata hasara, kwanini hasara wakati logo zipo?

Kama wingi wa logo ndio wingi wa faida kwanini wasi demand kua waongeze idadi ya logo kwenye jezi ili nao wapate faida zaidi waendelee kuidhamini ligi?
 
Mo anawapelekea sana moto simba.

Ni kama vile ana 100% ya hisa.

Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??

Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k

Hawa wenye 51% wako wapi???

Mo ni TAPELI.
 
Mimi nimeuliza unaweza kuelezea ni mechanism gani inayofanya hizo logo zimuingizie pesa.

Unaweza ukaweka range ya kiasi anachopata kwa yeye kuweka logo kisha ukafanya cimparison na kiasi anavhokitoa yeye kuendesha timu?

Kama timu inaingiza hela na kufanya vizuri kupitia hela zake alizo invest huoni hapo ni kama anatoa mfuko wa nyuma ana hamishia mfuko wa mbele?

Kumbuka nauliza haya nikiwa na maana
Mkuu simba si imekuwa kampuni ina inflow na outflow kama wangeweka wazi financial statement zake jibu ni jepesi tu sasa yeye katumia zaidi ya billion 21 ndani ya miaka minne ina maana kwa mwaka alikua anatoa zaid ya bilion 5 je kwa mwaka simba ilikuwa inaingiza kiasi gani mpaka iwe na deficit ya billion 5 kiuwendeshaji? Basi hata hiyo billion 20 ambayo anawekeza haita last even ten years how long he will get his return kweli investment ya hasara hiyo projection hapo ni sifuri hiyo sio biashara ya kuwekeza kama tukienda na maneno ya boss mwamedi
 
Mechanism rahisi sana. Unapotangza unakuza mauzo.

Matangazo ni 10% to 30% ya total earnings. Kwa hiyo mapato yake ni mara tatu mpaka kumi ya gharama ya kutangaza. Kama alitumia 200mil, basi itamuingizia milioni 600 mpaka bilioni 2. Tufanye average ni 1bn.

Mo anatoa 5bn a year lakini, kabla hajatoa bilioni 20 alikuwa tayari ana mamlaka yote ya kiuendeshaji kwa miaka minne. Kwa hiyo msichukulie kama alikuwa anawafanyia favors. Bilioni 20 ikinunua Government bonds inaweza kukupa 3.4bn a year.
Maana yake, angetoa hizo 20bn kabla ya kujitwalia madaraka, Simba ingekuwa na uwezo wa kuingiza 3.4bn a year bila kuambiwa kuwa huo ni msaada. Kwa hiyo ondoa fikra kuwa Mo alikuwa anatoa msaada Simba.

Kitu ambacho Mo analaumiwa kwenye hii issue ni openness. Tenda hiyo ya matangazo ya jezi ilikuwa competitive? Ilikuwa open? Je, Simba ingeweza kupata hela zaidi kwa matangazo ya mgongoni? Kutoka kwa wadau mbalimbali kitaifa na kimataifa kama tenda ingekuwa wazi?
Kuwa mwanachama smart.
 
Hivi bado tu mnateseka na mo?,, sisi kama simba tumeridhia na huo mnaouita ujanja as long as makombe yanakuja ila wewe na utapu tapu wenzio kama hamjaridhia nadhani mngeenda cas kufungua kesi juu ya uwekezaji wake pale simba,,, nakukumbusha tu na leo utapu tapu kadroo tena huko lkn bado mnahangaika na mo
Wewe firahia mpunga mjanja anafurahia neema ya fweza
 
Mechanism rahisi sana. Unapotangza unakuza mauzo.

Matangazo ni 10% to 30% ya total earnings. Kwa hiyo mapato yake ni mara tatu mpaka kumi ya gharama ya kutangaza. Kama alitumia 200mil, basi itamuingizia milioni 600 mpaka bilioni 2. Tufanye average ni 1bn.

Mo anatoa 5bn a year lakini, kabla hajatoa bilioni 20 alikuwa tayari ana mamlaka yote ya kiuendeshaji kwa miaka minne. Kwa hiyo msichukulie kama alikuwa anawafanyia favors. Bilioni 20 ikinunua Government bonds inaweza kukupa 3.4bn a year.
Maana yake, angetoa hizo 20bn kabla ya kujitwalia madaraka, Simba ingekuwa na uwezo wa kuingiza 3.4bn a year bila kuambiwa kuwa huo ni msaada. Kwa hiyo ondoa fikra kuwa Mo alikuwa anatoa msaada Simba.

Kitu ambacho Mo analaumiwa kwenye hii issue ni openness. Tenda hiyo ya matangazo ya jezi ilikuwa competitive? Ilikuwa open? Je, Simba ingeweza kupata hela zaidi kwa matangazo ya mgongoni? Kutoka kwa wadau mbalimbali kitaifa na kimataifa kama tenda ingekuwa wazi?
Kuwa mwanachama smart.
Hatawataki kuelewa yale ya manji na yanga anataka kutuletea mo vitu vingi anafanya as if a namiliki simba yote CEO wa sasa kamuweka hakuna kazi iliyotangwazwa ma billion 5 simba ilikuwa inaingizia kiasi gani mpaka iwe na deficit kubwa hiyo sina uhakika kama mo anasema ukweli ni porojo tu hakuna billion 21 aliyoweka ndani ya miaka 4 mwamedi anatupiga
 
Mkuu simba si imekuwa kampuni ina inflow na outflow kama wangeweka wazi financial statement zake jibu ni jepesi tu sasa yeye katumia zaidi ya billion 21 ndani ya miaka minne ina maana kwa mwaka alikua anatoa zaid ya bilion 5 je kwa mwaka simba ilikuwa inaingiza kiasi gani mpaka iwe na deficit ya billion 5 kiuwendeshaji? Basi hata hiyo billion 20 ambayo anawekeza haita last even ten years how long he will get his return kweli investment ya hasara hiyo projection hapo ni sifuri hiyo sio biashara ya kuwekeza kama tukienda na maneno ya boss mwamedi
Kwanza inabidi uelewe hiyo unayoita profit unayoipigia hesabu kwa mwaka imesababishwa baada ya nani aliye wekeza pesa ambayo imesababisha hiyo profit kuonekana
 
Pia na wewe kwanza uelewe hiyo pesa iliyowekezwa siyo hisani.
Ni malipo ya makubaliano maalum Kati ya mwekezaji na wanachama wa Simba SC.
Kwa hiyo ni mutual benefit.
 
Kwanza inabidi uelewe hiyo unayoita profit unayoipigia hesabu kwa mwaka imesababishwa baada ya nani aliye wekeza pesa ambayo imesababisha hiyo profit kuonekana
Kabla hajawekeza simba si ilikuwa na vyanzo vya mapato? Unakumbuka simba alivyokosa ubingwa wa mapinduzi mwamedi alilakamika a natumia bilion moja kwa mwaka sasa hivi kaja na ngonjera ya billion tano
 
Toa ushauri sasa.
Unataka Simba ifanyeje ?

Tumfukuze MO au nini ?
 
Back
Top Bottom