Tatizo uwa mnadandia tren kwa mbele mnaishia kuswaga na vipoint vyenu uchwala,huu mchakato wa MO kununua hisa,umepitia ngazi tofauti na,bodi ya tender iliundwa kutangaza zabuni ya uwekezaji ikiwa na terms na condition ambazo wanachama wa simba walizipitisha.
Katika iyo tender alieomba na kutimiza vigezo na masharti yote ni MO Dewji pekee,hakuna mtu yeyote aliejitokeza tofauti na MO,baada ya hapo wanachama wakatengeneza memorandum ambayo ilipitishwa na mkutano mkuu ambayo itatumika kuendesha timu kipindi cha mpito kati ya muekezaji na wanachama ambao ni wanahisa wenye majority.
Kuhusu tender ya matangazo ya jezi muda mwingine muwe mnafanya research msiongee kama wachawi,main sponsor ni sport pesa ndie alieweka pesa nyingi na ndio anakaa kifuani hapo mbele,na hao wengine unaowaona ni wadhamini wadogo.
Metl kupitia kampuni yake ya vinywaji baridi wanatoa milioni 350 kwa mwaka na alitangazwa kipindi anaingia mkataba huo na jinsi Simba inavyoendeshwa ni makubaliano rasmi ambayo yatatumika kipindi chote cha mpito wala sio uamuzi wa MO.
Uamuzi ulipitishwa ili muekezaji awe na uhakika wa pesa zake na kwasababu club haipo katika uendeshaji ulio makini mwekezaji atachagua wajumbe saba,na wanachama wajumbe saba wataunda bodi ya wakurugenzi kwa pamoja watashirikiana kuendesha timu na club itakuwa inabadilisha wajumbe wa bodi kila baada ya miaka minne.
Kwa muekezaji yeyote makini uwezi kuweka bil.20 sehemu ambayo haina hata hesabu zilizokaguliwa kwa miaka mitano nyuma,sehemu ambayo haina ofisi wala watendaji wanaoeleweka na uache tu pesa huo ujinga unaweza kuufanya labda kwa pesa za ndotoni,MO kwanza ameunda management ya club ameweka mfumo mzuri wa mapato na matumizi,ameweka utaratibu wa kutambua mali na madeni ya club, kuajili watendaji wenye sifa stahiki.
kwasababu biashara ya kwanza ya Simba ni mpira ametengeneza mazingira mazuri ya mpira kuchezwa ili kuweka mazingira ya biashara sawa,leo simba amechukua kombe la ligi mara nne,kombe la FA mara mbili,club bingwa kucheza mara tatu,kuingia robo fainal mara mbili,kutengeneza uwanja wa mazoezi kununua vifaa vya kisasa vya mazoezi na vifaa tiba,kuajili wataalamu mbalimbali wa benchi la ufundi na madaktali.
Watu wenye akili "ndogo"kama zako wanafikili hili ni jambo dogo tu,mara nyingi unakuta mtu ambae mshipa wa tako unamtoka hajawahi kumiliki biashara anaongea porojo kuwa MO ni mwizi bila kueleza ameiba nini na kiasi Gani?!! Mimi akija mtu ambae amefanikiwa kama MO na akaeleza kuwa MO anakosea wapi nitamuelewa lakini sio nyie wakina yahya ambao hamjulikani mnafanya kazi gani?!wala hamjulikani mnaishi wapi?!
Sasa wewe ndiyo ulioingilia mada kinyumenyume exposing your gaping tunnel.
Issues hapa ninazojitahidi kumuelezea ni mbili.
Kwanza, wanachama na mashabiki wa Simba wameweka nini? Wewe unaamini hawajaweka kitu chochote?
Regardless of how organized/disorganized they were, mashabiki na wanachama wa Simba na klabu Yao kabla ya uwekezaji walikuwa na thamani fulani.
MO kuamua kuwekeza 20bn na wanachama kukubali hilo, siyo favor. Wangekuwa more organized, Simba hata isingehitaji mwekezaji wa 20bn for 49% stake. Hiyo ni bajeti ya 8bn a year ambayo Yanga inaelekea kuitumia bila mwekezaji.
Kwa hiyo, usitake kutuambia wanachama wa Simba walikuwa hawana kitu cha thamani. You should at least put a figure instead ya kusema eti they had nothing. They had more than 3.5 bn a year, if we'll organized.
Sportpesa, uhl, Kariakoo derby na Simba day pekee zilikuwa zinaingiza almost 2bn a Year. With a bad or non existent organization.
With a well organized (just fixing the leadership) ingekuwa zaidi.
Hapo hatujazungumzia fixed assets ambazo at least ni 1bn.
Utasemaje wanachama walileta nothing??
Pili, wether agreed or not tender ya matangazo haikuwa open. Kosa la MO au wanachama hiyo ni juu Yao Ila tenda haikuwa open hivyo hujui hata wewe how long MO "protector" will be on the jersey and when "Azam cola" will be able to bid on that spot.
Hiyo siyo fair competition na haiipi optimum profit Simba as a Corporation.
Kwa hiyo. wether MO played SSC or not, that's none of my business as I'm not a fan of that club and honestly I don't wish it well.
But the point I was making was, Simba Sports Club as a part-owner came up with something. Hiyo ndiyo wapuuzi kama nyinyi hamtaki watu waamini.
What an arse, you didn't even come up with a figure.