sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mo anawapelekea sana moto simba.
Ni kama vile ana 100% ya hisa.
Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??
Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k
Hawa wenye 51% wako wapi???
Alafu anasema hanufaiki. Anaisaidia tu Simba kwa mapenzi [emoji23][emoji23]Mo keshanunua wale njaa njaa
Yanga Wana bahati Wana JK .
Hataki ujinga..keshasema marufuku muwekezaji kujifanya mmiliki wa timu
Simba hata hiyo 51 ya makaratasi wamshukuru Mwakyembe ... vinginevyo mhindi alikuwa Keshaibeba bure kabisa
Hizo logo unaweza kuelezea zinamfaidisha vipi?Alafu anasema hanufaiki. Anaisaidia tu Simba kwa mapenzi [emoji23][emoji23]View attachment 1880170
Kwa wasiofatilia soka la bongo, au kuijua simba, wanaweza dhani hapo Protector ndio jina la mchezajiAlafu anasema hanufaiki. Anaisaidia tu Simba kwa mapenzi [emoji23][emoji23]View attachment 1880170
Nenda simba waulize ni kiasi gani kinahitajika ili wakuwekee logo ya biashara yako kwajili ya matangazo,Hizo logo unaweza kuelezea zinamfaidisha vipi?
51% wametoa sh ngapi?Mo anawapelekea sana moto simba.
Ni kama vile ana 100% ya hisa.
Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??
Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k
Hawa wenye 51% wako wapi???
Kwa aina hii ya mashabiki, mwacheni tu Moo aitwe Moo!! 😁😁Hizo logo unaweza kuelezea zinamfaidisha vipi?
Hivi hao wanasmba wenye hisa 51% wametoa shi ngapi kwenye account ya simba companyMo anawapelekea sana moto simba.
Ni kama vile ana 100% ya hisa.
Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli??
Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k
Hawa wenye 51% wako wapi???
Hakuna shida, ili mradi makombe yote muhimu yanajaa kabatini. Wakati Luis anasajiliwa Simba haukuuliza nani amelipia usajili, ila wakati anauzwa ndio unajidai kama vile Luis alikuwapo Simba tangu enzi na kuhoji kwa nini anauuzwa! Hivi vichwani tumebeba nini jamani?Mo anawapelekea sana moto simba. Ni kama vile ana 100% ya hisa. Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli?? Bado kuna kufukuza wafanyakazi, kuweka ndugu zake huko kwenye bodi za timu, n.k. Hawa wenye 51% wako wapi???
kabla ya mo simba ilikuwajeMo keshanunua wale njaa njaa
Yanga Wana bahati Wana JK .
Hataki ujinga..keshasema marufuku muwekezaji kujifanya mmiliki wa timu
Simba hata hiyo 51 ya makaratasi wamshukuru Mwakyembe ... vinginevyo mhindi alikuwa Keshaibeba bure kabisa
Hizo logo unaweza kuelezea zinamfaidisha vip
SawaKwa aina hii ya mashabiki, mwacheni tu Moo aitwe Moo!! 😁😁
Mbona mnateseka sana, hapo shida ni tangazo au design?Alafu anasema hanufaiki. Anaisaidia tu Simba kwa mapenzi [emoji23][emoji23]View attachment 1880170
Mimi nimeuliza unaweza kuelezea ni mechanism gani inayofanya hizo logo zimuingizie pesa.Kama zisingekuwa na manufaa, asingeziweka maana hizo sio urembo. Simba ina fanbase kubwa, kuweka minembo ya products zake hapo kama 'wasudani' ni wazi ya kwamba anafaidika kibiashara. Na ndio maana aliiacha African Lyon na Singida united, huko hakuna base kubwa ya kupandisha market ya bidhaa zake! So mtindo wa kulalamikalalamika kana kwamba anachunwa tu, hamna apatacho, ni UONGO