Wanasimba wenye 51% ya umiliki na maamuzi wako wapi? Mo mwenye 49% ana nguvu mno kiasi hiki?

Hao wanachama kwenye hayo makubaliano wao wameweka shingapi?
Hao ndo wamiliki wa timu, wakadi za uanachama ambazo wanazilipia kila mwaka na kulingana na katiba wao ndio wanasauti kubwa ya maamuzi kuliko mwekezaji. Lakini kwetu mwamedi ndo anasaut zaid, bodi anachagua yeye, tenda zote yeye usajiri wafanyakazi mikataba, everythng mwamed, come on! Mpo wapi wenye timu!???
 
nimeuliza kwenye hayo makubaliano yaliyo husisha pande mbili kati ya Mo na wanachama, kwasababu pesa ya mo inajulikana je hao wanachama wametoa bei gani?
Hivyo ulivyotajiwa hapo vithamanishe alaf ndo utajua ni bei gani.
 
Bro, elimu inahitajika sana. Watu wengi hawana idea kabisa. Wanaona kama vile mo anatoa msaada mkubwa wa kisamalia.
 
Bro, elimu inahitajika sana. Watu wengi hawana idea kabisa. Wanaona kama vile mo anatoa msaada mkubwa wa kisamalia.
Yaani hata kumuelezea mtu kwamba na nyinyi mashabiki mna thamani, anakataa anasema hatuna thamani yeyote.
 
Peleka maoni yako kwenye mkutano wa wanachama wa Simba.
Maana ndio waliompa mamlaka MO ya kufanya hayo anayoyafanya.
 
Sauti bila hela ni kelele, club inahitaji pesa za uhakika na sio sauti ambazo zikiruhusiwa ziwe muongozo mwsho wake ni kutembeza bakuli
 
Hivyo ulivyotajiwa hapo vithamanishe alaf ndo utajua ni bei gani.
vithaminishe wewe ambaye unaviona vinathamani ya kuendeshea club, kulipa mishahara wachezaji, usajili na marekebisho ya uwanja nk

Hivyo vitu simba haijavipata juzi, lakini ilikuwaje vikashindwa kufanya madadiliko haya ambayo tunayaona baada ya dewj kuingia?
 
hahaha we ebu apia kua huo si utani?

Yani mafanikio ya mo yamechagizwa na simba kweli nawe unaongea ukimaanisha?
 
Mo ndio Rwanda, Arsenal ndio Simba nani ananugaika hapo?Unadhani Rwanda mwenye logo anatoa charity? Mo analipia logo zile? Unajua biashara na umiliki ni vitu tofauti?
Arsenal imemlipa bei gani Rwanda inayomfaidisha rwanda?

Rwanda kafanya vile kama sacrifice tu pata potea lakini hakuna uhakika wowote kwamba anaenda kuirudisha pesa hiyo kwa kipindi hicho cha miaka mitatu kupitia utarihi ambao umechangiwa na arsenal

Rwanda hata akisema kapata hasara kwenye hiyo deal utatumia hoja gani kum prove wrong?

Arsenal ndio yupo kwenye angle ambayo hapati hana cha kupoteza sasa hapo mnufaika huoni kama ni arsenal?
 
You do not know anything and you do not have any insight of investment issues, you are female, many scriptures but understand zero,
 
Kama anasababisha tunashinda vikombe na tunawahenyesha uto achukue tu hisa zote
 
You do not know anything and you do not have any insight of investment issues, you are female, many scriptures but understand zero,
I actually do understand a thing or two.
All you did here is condoning brown-nosing.
Look how dumb and primitive you are, thinking that calling someone a "female" is degrading.
What a waste of nut.
 
Haha, mkuu mbona hiyo ni marketing 101?
Ngoja nijaribu kdg
Mo amejipush kila inapotajwa simba anatajwa Mo, hapo kumbuka bidhaa zake zote zinaitwa Mo..something mfn mo embe mo energy etc

Brand ya Mo ilikuwa ndogo sana, kumbuka mpira ndiyo mchezo unaofuatiliwa na wengi. Kwa Tz simba ndiyo yenye mashabiki wengi ikifuatiwa na mtani yanga hivyo basi kupitia Simba Mo ameifikiwa fanbase ya simba na yanga kiurahisi Jambo ambalo kibiashara amezitangaza biashara zake bure kabisa bila kulipia matangazo kwe Tvs, radio, magazeti etc Kupitia uwekezaji wake simba ambao pia unampa faida kupitia mapato ya simba..
Haha this is simba

Pili Mo anajua fika kwanza watz hawana insights kuhusu biashara na masoko, ndiyo maana anatuhadaa anatusaidia kwa mapenzi aliyonayo kwa simba..mapenzi my foot.
Yaani tumshukuru Mwakyembe tungekuwa na vilio na kusaga meno tena tumshukuru kweli kweli
Mi nikajua Mo ndio analipwa na club kwa kuweka logo kumbe kisheria yeye ndio anatakiwa alipwe, sasa hapo mbona club ndo inafaidika na sio Mo?

Hizo kelele za kusema Mo anafaidika kwasababu ya logo mbona kama ukizichenjua ni kama porojo tu?
 
Mwanangu unazingua! Inaonesha hujui chochote kuhusu matangazo ya biashara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…