Wanasubiriwa raia watoke katika kiwanda cha vyuma Mariupol kisha vitu vizito vya Urusi vinadondoshwa kwa askari 2000 wa Ukraine waliopo

Ni ngumu kwa sababu ni lazima watumie milango ya kwenye mahandaki ambayo kimsingi yote inajurikana.

Ingekuwa rahisi kutoroka iwapo wasingeingia kwenye mtandao wa mahandaki.
Na kingine wakitoroka inamaanisha wamesalimu amri na kukubali kuuachia mji huo wakati wao wamesha apa kupigana mpaka mwisho wa maisha yao.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Shetani roho yako inapata buruuuuuuudani...
 
Mmarekani wa chato katika ubora wako.
 
Pamoja na kuwa platinum member, unaandika pumba mpaka unashangaza. Acha kujiaibisha.
Nikusaidieje Mr Ngumbalu,unaona wivu kuwa 'Platnum' nimwambie Melo akupatie hii yangu.Unakuwaje na gubu na vitu vidogo vidogo kiasi hiki,jadili mada iliyoko mezani,kukimbilia kuchungulia ID za watu kunanifanya nitilie shaka hata life style yako na majirani zako.
 
Ninaamini tangu 2014 baada ya ule mgogoro,Ukraine watakuwa walijidhatiti pia katika maeneo kama hayo kwa ajili ya usalama wao. Lakini pia upo sahihi katika hiyo hoja yako ya kukimbia eneo hilo maana yake ni kukubali kushindwa kitu ambacho sikioni kikitokea kirahisi.Acha tuvute subira tuone hatma yao itakuwaje.
 
Tatizo unaandika pumba sana, pumba unazoandika hazilingani na umri wako, hiyo platinum status wala haihitaji kuchungulia ID yako, inaonekana pamoja na ushubwada unaoandika, yaani mtu akisoma tu ushubwada ulioandika anajua umeandikwa na member wa aina gani.
 
Lakini pia upo sahihi katika hiyo hoja yako ya kukimbia eneo hilo maana yake ni kukubali kushindwa kitu ambacho sikioni kikitokea kirahisi.Acha tuvute subira tuone hatma yao itakuwaje.
Ona sasa ulivyo ndezi, mara Russia watakuja kushtuka hakuna mtu, mara unajichanganya tena kwa kusema hauoni hicho kitu cha askari waliopo kwenye mahandaki kutoroka kikitokea. Inaonekana unaandika tu bila hata kushirikisha ubongo wako.
 
Ngoja nikusaidie ukome kushoboka na watu usiowajua,kaa kwa Ignore list
 
Ngoja nikusaidie ukome kushoboka na watu usiowajua,kaa kwa Ignore list
Kimbia tu, ndezi mkubwa wewe. Unaandika pumba unategemea uachwe, hiyo Ignore button wala haikusaidii kitu, kuna namna nitakutana na wewe halafu nitakupiga vipepsi vya tumbo kama kawaida.
 
Una tofauti na akili za warusi wanaenda na msafara wa vifaru kama wanaenda harusini
 
Mkuu hawana namna ndio maana katibu wa UN aliomba watolewe na majeshi ya UN Russia akakaza kwamba hata yeye ni member so anaweza kuifanya hiyo kazi. Nadhani hawana pa kutokea. Let's wait en see
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…