Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu kwa sababu ni lazima watumie milango ya kwenye mahandaki ambayo kimsingi yote inajurikana.Si kwamba sielewi ukubwa wa hicho Kiwanda,mbona taarifa hizo zipo tu kwa mtu atakaetaka kuzifahamu.Ninachomaanisha hao Ukraine si wajinga ki hivyo kwamba wamekaa tu wakisubiri kudra za Mwenyezi Mungu,ni swala la muda tu tutarudi tena hapa kujadiliana kama tulivyojadiliana zile sababu za kwa nini majeshi ya Russia yaliikimbia Kyiv.
Vita Ukraine: Raia wa Ukraine waokolewa katika kiwanda cha kutengenezea vyuma Mariupol
ikumbukwe ni kama wiki mbili zimepita wakiwa chini ya handaki raia 1000 na askari 2000 na tangu Putin alivyotaka askari wa ukraine wajisalimishe wakagoma ndipo Putin akaagiza hakuna kitu chochote kutoka au kuingia hata kama ni inzi
![]()
CHANZO CHA PICHA,REUTERS
Maelezo ya picha,
Valeria, mfanyakazi wa kiwanda cha chuma, amemkumbatia mwanae ambaye alikuwa ameondoka Mariupol mapema katika mzozo huo
Makumi ya raia wamehamishwa kutoka Mariupol hadi eneo linalodhibitiwa na Urusi na Ukraine baada ya kuzingirwa kwa wiki kadhaa.
Wengine wameacha kazi za chuma za Azovstal, eneo la mwisho ambalo jeshi la Ukraine kusitishwa katika jiji hilo muhimu kimkakati.
Urusi ilisema makumi ya raia wamefika katika kijiji wanachokidhibiti
NaonA mada imekuzidi IQ.Wakuu Kuna alielewa hapa? Msaada tafadhali
Mmarekani wa chato katika ubora wako.Hakuna Askari aliyebakia humo. Wametoroka kwa miondoko tofauti na kuwaacha RAIA tu. Yaani Askari wazingirwe wiki mbili wakae tu bila kutafuta mbinu za kujiokoa. LABDA HAWA MGAMBO WETU WAKUKIMBIZANA NA MACHINGA.
Baada ya hii vita nadhani kutakuwa na simulizi nyingi sana za UDHAIFU WA RUSSIA KTK MIPANGO YA VITA
NakaziaWakuu Kuna alielewa hapa? Msaada tafadhali
Pamoja na kuwa platinum member, unaandika pumba mpaka unashangaza. Acha kujiaibisha.Si ajabu hata raia wakawa wametoroshwa pia.Russia watajishangaa siku zote walikuwa wanalinda sehemu ambayo haina watu
Nikusaidieje Mr Ngumbalu,unaona wivu kuwa 'Platnum' nimwambie Melo akupatie hii yangu.Unakuwaje na gubu na vitu vidogo vidogo kiasi hiki,jadili mada iliyoko mezani,kukimbilia kuchungulia ID za watu kunanifanya nitilie shaka hata life style yako na majirani zako.Pamoja na kuwa platinum member, unaandika pumba mpaka unashangaza. Acha kujiaibisha.
Weeeeh? Mr high IQ embu nielezee ulivyoelewa kushinda sisi wote humu.NaonA mada imekuzidi IQ.
Ninaamini tangu 2014 baada ya ule mgogoro,Ukraine watakuwa walijidhatiti pia katika maeneo kama hayo kwa ajili ya usalama wao. Lakini pia upo sahihi katika hiyo hoja yako ya kukimbia eneo hilo maana yake ni kukubali kushindwa kitu ambacho sikioni kikitokea kirahisi.Acha tuvute subira tuone hatma yao itakuwaje.Ni ngumu kwa sababu ni lazima watumie milango ya kwenye mahandaki ambayo kimsingi yote inajurikana.
Ingekuwa rahisi kutoroka iwapo wasingeingia kwenye mtandao wa mahandaki.
Na kingine wakitoroka inamaanisha wamesalimu amri na kukubali kuuachia mji huo wakati wao wamesha apa kupigana mpaka mwisho wa maisha yao.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Tatizo unaandika pumba sana, pumba unazoandika hazilingani na umri wako, hiyo platinum status wala haihitaji kuchungulia ID yako, inaonekana pamoja na ushubwada unaoandika, yaani mtu akisoma tu ushubwada ulioandika anajua umeandikwa na member wa aina gani.Nikusaidieje Mr Ngumbalu,unaona wivu kuwa 'Platnum' nimwambie Melo akupatie hii yangu.Unakuwaje na gubu na vitu vidogo vidogo kiasi hiki,jadili mada iliyoko mezani,kukimbilia kuchungulia ID za watu kunanifanya nitilie shaka hata life style yako na majirani zako.
Ona sasa ulivyo ndezi, mara Russia watakuja kushtuka hakuna mtu, mara unajichanganya tena kwa kusema hauoni hicho kitu cha askari waliopo kwenye mahandaki kutoroka kikitokea. Inaonekana unaandika tu bila hata kushirikisha ubongo wako.Lakini pia upo sahihi katika hiyo hoja yako ya kukimbia eneo hilo maana yake ni kukubali kushindwa kitu ambacho sikioni kikitokea kirahisi.Acha tuvute subira tuone hatma yao itakuwaje.
Ngoja nikusaidie ukome kushoboka na watu usiowajua,kaa kwa Ignore listTatizo unaandika pumba sana, pumba unazoandika hazilingani na umri wako, hiyo platinum status wala haihitaji kuchungulia ID yako, inaonekana pamoja na ushubwada unaoandika, yaani mtu akisoma tu ushubwada ulioandika anajua umeandikwa na member wa aina gani.
Kimbia tu, ndezi mkubwa wewe. Unaandika pumba unategemea uachwe, hiyo Ignore button wala haikusaidii kitu, kuna namna nitakutana na wewe halafu nitakupiga vipepsi vya tumbo kama kawaida.Ngoja nikusaidie ukome kushoboka na watu usiowajua,kaa kwa Ignore list
Una tofauti na akili za warusi wanaenda na msafara wa vifaru kama wanaenda harusiniUnajua ukumbwa wa eneo hilo la viwanda au unaongea tu mkuu?
Au ukisikia kiwanda unadhani ni kama kiwanda cha Bagharesa au Mo?
Ukumbwa wake ni kilometa za mraba 15 ambao ukubwa wake ni sawa na mji kama kahama au zaidi.
Na hicho kiwanda kimejengwa na Urusi yenyewe kipindi cha Usoviet kwa hiyo mtandao wote ya mahandaki wanaijua ni ngumu sana kutoroka maana hata ukifanikiwa kutoka kwenye eneo la kiwanda bado ukanda wote wa Azov unadhibitiwa na Urusi utapita wapi sasa?
Hata hawa raia wanao okolewa wanaokolewa kupitia njia ambazo Urusi ndio imeziweka kwa kushirikiana na umoja wa mataifa yaani kiufupi hicho kiwanda kimezungukwa huwezi kutoroka la sivyo uwe tiyari kufa.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Labda wanafanya recycling!Hao watu wanakula nn huko ndani siku zote Hizi na wamezingirwa
Mkuu hawana namna ndio maana katibu wa UN aliomba watolewe na majeshi ya UN Russia akakaza kwamba hata yeye ni member so anaweza kuifanya hiyo kazi. Nadhani hawana pa kutokea. Let's wait en seeSi kwamba sielewi ukubwa wa hicho Kiwanda,mbona taarifa hizo zipo tu kwa mtu atakaetaka kuzifahamu.Ninachomaanisha hao Ukraine si wajinga ki hivyo kwamba wamekaa tu wakisubiri kudra za Mwenyezi Mungu,ni swala la muda tu tutarudi tena hapa kujadiliana kama tulivyojadiliana zile sababu za kwa nini majeshi ya Russia yaliikimbia Kyiv.
Waache wafe magaidi wamejificha humo viwandani waache wafeeee... mleta mada anafurahia kuona damu zikimwagika. Hiyo ndio furaha yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna Askari aliyebakia humo. Wametoroka kwa miondoko tofauti na kuwaacha RAIA tu. Yaani Askari wazingirwe wiki mbili wakae tu bila kutafuta mbinu za kujiokoa. LABDA HAWA MGAMBO WETU WAKUKIMBIZANA NA MACHINGA.
Baada ya hii vita nadhani kutakuwa na simulizi nyingi sana za UDHAIFU WA RUSSIA KTK MIPANGO YA VITA