Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Sasa dada angu msimamo wenu au wako upi jamaa wamekimbia nakusalimu amri ama bado wapo huko MBOCHINinaamini tangu 2014 baada ya ule mgogoro,Ukraine watakuwa walijidhatiti pia katika maeneo kama hayo kwa ajili ya usalama wao. Lakini pia upo sahihi katika hiyo hoja yako ya kukimbia eneo hilo maana yake ni kukubali kushindwa kitu ambacho sikioni kikitokea kirahisi.Acha tuvute subira tuone hatma yao itakuwaje.
Kuna muda munafurahisha kwel kwel yaani
Sent using Jamii Forums mobile app