Wanasubiriwa raia watoke katika kiwanda cha vyuma Mariupol kisha vitu vizito vya Urusi vinadondoshwa kwa askari 2000 wa Ukraine waliopo

Wanasubiriwa raia watoke katika kiwanda cha vyuma Mariupol kisha vitu vizito vya Urusi vinadondoshwa kwa askari 2000 wa Ukraine waliopo

Ninaamini tangu 2014 baada ya ule mgogoro,Ukraine watakuwa walijidhatiti pia katika maeneo kama hayo kwa ajili ya usalama wao. Lakini pia upo sahihi katika hiyo hoja yako ya kukimbia eneo hilo maana yake ni kukubali kushindwa kitu ambacho sikioni kikitokea kirahisi.Acha tuvute subira tuone hatma yao itakuwaje.
Sasa dada angu msimamo wenu au wako upi jamaa wamekimbia nakusalimu amri ama bado wapo huko MBOCHI
Kuna muda munafurahisha kwel kwel yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona sasa ulivyo ndezi, mara Russia watakuja kushtuka hakuna mtu, mara unajichanganya tena kwa kusema hauoni hicho kitu cha askari waliopo kwenye mahandaki kutoroka kikitokea. Inaonekana unaandika tu bila hata kushirikisha ubongo wako.
Siafiki hizo kauli kalli ulizompa huyo mdada ila huko kwengne naungana na ww
Yaani hajui anasimamia kipi hasa kama jamaa wapo ama wameondoka
Pro NATO wanamatatizo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hawana namna ndio maana katibu wa UN aliomba watolewe na majeshi ya UN Russia akakaza kwamba hata yeye ni member so anaweza kuifanya hiyo kazi. Nadhani hawana pa kutokea. Let's wait en see
[emoji3][emoji3][emoji3]kama aliwajibu hivyo aliwapatia Sana
 
Siafiki hizo kauli kalli ulizompa huyo mdada ila huko kwengne naungana na ww
Yaani hajui anasimamia kipi hasa kama jamaa wapo ama wameondoka
Pro NATO wanamatatizo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nimeshampatia stahiki yake ya block,huwa sihangaiki na mtu anaeshindwa kuzuia mihemuko kwa watu asiowafahamu,na ukute mtu mwenyewe jinsia ya kiume lakini kifua chake chepesi kama siagi ndani ya fryingpan[emoji3]
 
Ninaamini tangu 2014 baada ya ule mgogoro,Ukraine watakuwa walijidhatiti pia katika maeneo kama hayo kwa ajili ya usalama wao. Lakini pia upo sahihi katika hiyo hoja yako ya kukimbia eneo hilo maana yake ni kukubali kushindwa kitu ambacho sikioni kikitokea kirahisi.Acha tuvute subira tuone hatma yao itakuwaje.
Nyie mnasema kuwa watu watakuwa washatoroka zamani, uku watu wanahamishwa, sasa wale wametokea wapi? Unaambiwa mrusi karudia mashambulizi wakati bado ndani mna watu.

Ukweli ambao wengi hawakuuona ni kiwa hapo Ukraine kina pro russians, na hasa on the eastern side, halafu reports za unyanyasaji wa serikali ya Ukraine zipo tangu hio 2014.

Leo hii inashangaza sana kuona duniani kwamba hata mazayuni yana support vikosi vya kinazi 😀 sasa Nazi wamekuwa watu wazuri
 
Kwamba Putin amekuwa Myahudi zaidi kuliko Zelensiky,ingekuwa hivyo mbona sasa bado Zelensiky anapata back up kutoka kwa Wayahudi wenyewe[emoji3].
 
Kwamba Putin amekuwa Myahudi zaidi kuliko Zelensiky,ingekuwa hivyo mbona sasa bado Zelensiky anapata back up kutoka kwa Wayahudi wenyewe[emoji3].
Kitu gan kimekufanya uone nimemaanisha Putin ni yahudi zaid?

Mimi pia najiuliza kwann mayahudi saiv wanaungana na neo nazis? Pengine hujui kama kuna kikosi kazi cha Azov ambacho ni manazi.

By the way, usisahau OSAMA BIN LADEN pia alisaidiwa na USA dhidi ya urusi
 
Hakuna Askari aliyebakia humo. Wametoroka kwa miondoko tofauti na kuwaacha RAIA tu. Yaani Askari wazingirwe wiki mbili wakae tu bila kutafuta mbinu za kujiokoa. LABDA HAWA MGAMBO WETU WAKUKIMBIZANA NA MACHINGA.

Baada ya hii vita nadhani kutakuwa na simulizi nyingi sana za UDHAIFU WA RUSSIA KTK MIPANGO YA VITA
Wacha weeeh!
 
There are about 16,000 Ukrainian troops who are surrounded by Russians and the Luhansk militias in the Severodonetsk area.

It looks like Zelensky will have to organise another “evacuation”.
 
Oyaaaa [emoji23] sasaivi hio [emoji16]

Miji yote tunaipelekea moto
20220518_183548.jpg
 
#Breaking #Urgent #Russia #Ukraine #NATO #natobeitritt #Finland

Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova said that the Russian response to Finland's decision to join NATO "would come as a surprise," but the measures would be military.
 
[emoji91][emoji91][emoji91]Russia has informed the Ukrainian government that if it wants energy from the Zaporozhye plant it must pay for it[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Si ajabu hata raia wakawa wametoroshwa pia.Russia watajishangaa siku zote walikuwa wanalinda sehemu ambayo haina watu
Unafikiria russia ni kama mawazo yako enheee basi bakiukijua hivyo,
 
Back
Top Bottom