Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Sasa dada angu msimamo wenu au wako upi jamaa wamekimbia nakusalimu amri ama bado wapo huko MBOCHINinaamini tangu 2014 baada ya ule mgogoro,Ukraine watakuwa walijidhatiti pia katika maeneo kama hayo kwa ajili ya usalama wao. Lakini pia upo sahihi katika hiyo hoja yako ya kukimbia eneo hilo maana yake ni kukubali kushindwa kitu ambacho sikioni kikitokea kirahisi.Acha tuvute subira tuone hatma yao itakuwaje.
Siafiki hizo kauli kalli ulizompa huyo mdada ila huko kwengne naungana na wwOna sasa ulivyo ndezi, mara Russia watakuja kushtuka hakuna mtu, mara unajichanganya tena kwa kusema hauoni hicho kitu cha askari waliopo kwenye mahandaki kutoroka kikitokea. Inaonekana unaandika tu bila hata kushirikisha ubongo wako.
Hata mimi ninafurahia.... mleta mada anafurahia kuona damu zikimwagika. Hiyo ndio furaha yake.
[emoji3][emoji3][emoji3]kama aliwajibu hivyo aliwapatia SanaMkuu hawana namna ndio maana katibu wa UN aliomba watolewe na majeshi ya UN Russia akakaza kwamba hata yeye ni member so anaweza kuifanya hiyo kazi. Nadhani hawana pa kutokea. Let's wait en see
Ngoja tujipe muda,haya maswali yote yatapata majibu Kaka yangu.Btw nikutakie Eid Mubarak,uwe na sikukuu njema wewe na familia yako.Sasa dada angu msimamo wenu au wako upi jamaa wamekimbia nakusalimu amri ama bado wapo huko MBOCHI
Kuna muda munafurahisha kwel kwel yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nimeshampatia stahiki yake ya block,huwa sihangaiki na mtu anaeshindwa kuzuia mihemuko kwa watu asiowafahamu,na ukute mtu mwenyewe jinsia ya kiume lakini kifua chake chepesi kama siagi ndani ya fryingpan[emoji3]Siafiki hizo kauli kalli ulizompa huyo mdada ila huko kwengne naungana na ww
Yaani hajui anasimamia kipi hasa kama jamaa wapo ama wameondoka
Pro NATO wanamatatizo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnasema kuwa watu watakuwa washatoroka zamani, uku watu wanahamishwa, sasa wale wametokea wapi? Unaambiwa mrusi karudia mashambulizi wakati bado ndani mna watu.Ninaamini tangu 2014 baada ya ule mgogoro,Ukraine watakuwa walijidhatiti pia katika maeneo kama hayo kwa ajili ya usalama wao. Lakini pia upo sahihi katika hiyo hoja yako ya kukimbia eneo hilo maana yake ni kukubali kushindwa kitu ambacho sikioni kikitokea kirahisi.Acha tuvute subira tuone hatma yao itakuwaje.
Kwamba Putin amekuwa Myahudi zaidi kuliko Zelensiky,ingekuwa hivyo mbona sasa bado Zelensiky anapata back up kutoka kwa Wayahudi wenyewe[emoji3].Nyie mnasema kuwa watu watakuwa washatoroka zamani, uku watu wanahamishwa, sasa wale wametokea wapi? Unaambiwa mrusi karudia mashambulizi wakati bado ndani mna watu.
Ukweli ambao wengi hawakuuona ni kiwa hapo Ukraine kina pro russians, na hasa on the eastern side, halafu reports za unyanyasaji wa serikali ya Ukraine zipo tangu hio 2014.
Leo hii inashangaza sana kuona duniani kwamba hata mazayuni yana support vikosi vya kinazi 😀 sasa Nazi wamekuwa watu wazuri
Kitu gan kimekufanya uone nimemaanisha Putin ni yahudi zaid?Kwamba Putin amekuwa Myahudi zaidi kuliko Zelensiky,ingekuwa hivyo mbona sasa bado Zelensiky anapata back up kutoka kwa Wayahudi wenyewe[emoji3].
Urusi ipi ulikuwa unaizungumzia?Urusi hata amini atakapokutana na empty vesel. Hakuti mtu huko ndani... UHAKIKA.
Wacha weeeh!Hakuna Askari aliyebakia humo. Wametoroka kwa miondoko tofauti na kuwaacha RAIA tu. Yaani Askari wazingirwe wiki mbili wakae tu bila kutafuta mbinu za kujiokoa. LABDA HAWA MGAMBO WETU WAKUKIMBIZANA NA MACHINGA.
Baada ya hii vita nadhani kutakuwa na simulizi nyingi sana za UDHAIFU WA RUSSIA KTK MIPANGO YA VITA
Ona hili nalo!!!Si ajabu mpaka sasa hakuna mtu yoyote,walishaondoka muda mrefu,wao wamebaki wanalinda majengo na hao nzi wasitoroke [emoji846]
😂😂😂😂Si ajabu hata raia wakawa wametoroshwa pia.Russia watajishangaa siku zote walikuwa wanalinda sehemu ambayo haina watu
Kwa comment zako nawaonea huruma watoto wako (kama unao) sababu unajizihirisha ni namna gani kichwani hazipo.
Unafikiria russia ni kama mawazo yako enheee basi bakiukijua hivyo,Si ajabu hata raia wakawa wametoroshwa pia.Russia watajishangaa siku zote walikuwa wanalinda sehemu ambayo haina watu