Wanasubiriwa raia watoke katika kiwanda cha vyuma Mariupol kisha vitu vizito vya Urusi vinadondoshwa kwa askari 2000 wa Ukraine waliopo

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827

Vita Ukraine: Raia wa Ukraine waokolewa katika kiwanda cha kutengenezea vyuma Mariupol​

ikumbukwe ni kama wiki mbili zimepita wakiwa chini ya handaki raia 1000 na askari 2000 na tangu Putin alivyotaka askari wa ukraine wajisalimishe wakagoma ndipo Putin akaagiza hakuna kitu chochote kutoka au kuingia hata kama ni inzi

A tearful woman and son embrace next to a bus in Bezimenne

CHANZO CHA PICHA,REUTERS
Maelezo ya picha,
Valeria, mfanyakazi wa kiwanda cha chuma, amemkumbatia mwanae ambaye alikuwa ameondoka Mariupol mapema katika mzozo huo
Makumi ya raia wamehamishwa kutoka Mariupol hadi eneo linalodhibitiwa na Urusi na Ukraine baada ya kuzingirwa kwa wiki kadhaa.
Wengine wameacha kazi za chuma za Azovstal, eneo la mwisho ambalo jeshi la Ukraine kusitishwa katika jiji hilo muhimu kimkakati.
Urusi ilisema makumi ya raia wamefika katika kijiji wanachokidhibiti
 
Hakuna Askari aliyebakia humo. Wametoroka kwa miondoko tofauti na kuwaacha RAIA tu. Yaani Askari wazingirwe wiki mbili wakae tu bila kutafuta mbinu za kujiokoa. LABDA HAWA MGAMBO WETU WAKUKIMBIZANA NA MACHINGA.

Baada ya hii vita nadhani kutakuwa na simulizi nyingi sana za UDHAIFU WA RUSSIA KTK MIPANGO YA VITA
 
Si ajabu hata raia wakawa wametoroshwa pia.Russia watajishangaa siku zote walikuwa wanalinda sehemu ambayo haina watu
 
Hakuna Askari aliyebakia humo. Wametoroka kwa miondoko tofauti na kuwaacha RAIA tu. Yaani Askari wazingirwe wiki mbili wakae tu bila kutafuta mbinu za kujiokoa. LABDA HAWA MGAMBO WETU WAKUKIMBIZANA NA MACHINGA.

Baada ya hii vita nadhani kutakuwa na simulizi nyingi sana za UDHAIFU WA RUSSIA KTK MIPANGO YA VITA
hizi sehemu zote yakiwemo mahandaki yalijengwa wakati wa urusi ya kisovieti na ramani zake zote zipo warusi wa ukraine, wa georgia, wa belarus, wakhazastan nk wote wanazo. warusi wanajua mahandaki yote yanapoishia. Hata kama kuna mahandaki mapya yamejengwa picha za satelite zinaweza kung'amua kirahisi wapi pana shimo (handaki) wapi hakuna kwa kuangalia tofauti ya uoto, joto (kwenye handaki watu wanapika wanakula, joto la mwili, vifaa vya chuma vilivyopo nk), drainage system nk kama vile invyotumika kuvumbua makaburi ya kale ya kina farao huko misri au vifaru na ndege za saddam hussein vilivyokuwa zimevundikwa kwenye mchanga
 
Hili mimi naamini kabisa,week mbili watu wako kwao wasijue jinsi ya kujiokoa tu.Btw kwanini Russia asiingie tu huko ndani ili awakurupue hao askari kama kweli wapo,au anaogopa kichapo kama alichopata kwenye suburb za Kyiv
Unajua ukumbwa wa eneo hilo la viwanda au unaongea tu mkuu?

Au ukisikia kiwanda unadhani ni kama kiwanda cha Bagharesa au Mo?

Ukumbwa wake ni kilometa za mraba 15 ambao ukubwa wake ni sawa na mji kama kahama au zaidi.

Na hicho kiwanda kimejengwa na Urusi yenyewe kipindi cha Usoviet kwa hiyo mtandao wote ya mahandaki wanaijua ni ngumu sana kutoroka maana hata ukifanikiwa kutoka kwenye eneo la kiwanda bado ukanda wote wa Azov unadhibitiwa na Urusi utapita wapi sasa?

Hata hawa raia wanao okolewa wanaokolewa kupitia njia ambazo Urusi ndio imeziweka kwa kushirikiana na umoja wa mataifa yaani kiufupi hicho kiwanda kimezungukwa huwezi kutoroka la sivyo uwe tiyari kufa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Waeleze hawa raia maana wanahisi Russia ni fala labda ni mgambo flani
 
Si kwamba sielewi ukubwa wa hicho Kiwanda,mbona taarifa hizo zipo tu kwa mtu atakaetaka kuzifahamu.Ninachomaanisha hao Ukraine si wajinga ki hivyo kwamba wamekaa tu wakisubiri kudra za Mwenyezi Mungu,ni swala la muda tu tutarudi tena hapa kujadiliana kama tulivyojadiliana zile sababu za kwa nini majeshi ya Russia yaliikimbia Kyiv.
 
Back
Top Bottom