Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

Ivi wale wanaozikalia kwa juuu hawawezi sababisha madhara kuliko ata mwanaume aendapo chooni?
 
Vipo baadhi ya sehemu
Wanaita Turkish toilet
Kampuni moja nilikuwa nafanya kazi walitengeneza moja ya kuchuchumaa
Ila sijaona sehemu nyingi
Huku tu kwenye fani ya ujenzi vinajulikana kama "asian type" hivyo mtu asipofanya description kwenye orodha ya vifaa maana yake choo kinachotambulika ni cha kukaa "European type" hivyo kwenye miradi mikubwa choo ni cha kukaa unless uweke description kwamba unataka cha kuchuchumaa
 
images (2).jpeg
Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.

Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.

Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.

Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
Jenga Nyumba ya Tembe Tuuu hapo gharama nguvu zako na Jasho na kaharufu ka mwili kidogo
images (2).jpeg
images (1).jpeg
images.jpeg
download.jpeg



Ndio maana tuwape hongera wananchi kwa kuwa..


Chadema ikishinda (Kimyaaaa mtaa wote kichekooo)


Chadema ikishindwa (Tumeibiwa kura - Hakuna uchaguzi kuna uchafuzi - Kura feki - Polisi wamewasaidia)


Inahitaji JESHI, Polisi, FBI (Kwa sababu ya watalii wanaokuja Zanzibar na Kilimanjaro - Watalii hawawezi kuja Tanzania kuangalia viazi utamu au machungwa ya Tanga), ICC, kujua aina ya Siasa zinazofanyika Tanzania


Hata malengo ya maendeleo endelevu wamekupiga bao la kisigino sema tu hawatakiwi kutangazwa

E_SDG_Icons-11.jpg
 
Back
Top Bottom