Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa atafikaje na maongezi yenyewe yafanyikie kitambaa cheupe kwa bajeti ya buku tatuNjooo apa kitambaaa cheupe tuongee
Ile chai ya kijiweni ilivyo kali vile hakika huyo hatoboi saa saba usiku...wale jamaa wana chai zamoto sanaaa iiiii 🤣🤣🤣Sema na nafsi yako kuwa leo mko kwenye msimu wa kwaresma/Ramadhani hivyo mtafunga siku nzima. Hiyo buku tatu iweke kwenye wallet yako itakupa ujasiri wa kuwa nina hela na itaondoa hofu.
Ikifika saa moja usiku muda wa kufungua/kuvunja funga yako nenda kwenye kijiwe cha kahawa toa mia 5, hapo upate vikombe vya kahawa na kashata hadi ushibe.
Rudi nyumbani oga maji baridi, kunywa maji ya kuchemsha nyumbani au hata ya bomba lala usingizi wa amani huku kwenye wallet umebakiwa na 2,500 ya kuanza nayo kesho.
Leo isikutishe, unaimudu. Kesho huijui, ipangilie vyema.
Kila la Kheri.
Kufunga mchana ni rahisi kuliko usikuSema na nafsi yako kuwa leo mko kwenye msimu wa kwaresma/Ramadhani hivyo mtafunga siku nzima. Hiyo buku tatu iweke kwenye wallet yako itakupa ujasiri wa kuwa nina hela na itaondoa hofu.
Ikifika saa moja usiku muda wa kufungua/kuvunja funga yako nenda kwenye kijiwe cha kahawa toa mia 5, hapo upate vikombe vya kahawa na kashata hadi ushibe.
Rudi nyumbani oga maji baridi, kunywa maji ya kuchemsha nyumbani au hata ya bomba lala usingizi wa amani huku kwenye wallet umebakiwa na 2,500 ya kuanza nayo kesho.
Leo isikutishe, unaimudu. Kesho huijui, ipangilie vyema.
Kila la Kheri.
skia chukua hapo majani ya chai ya hamsini chemsha chai tia kwenye chupa hiyo elfu 2 mia tisa toa mia tano kachukue chapata mbili piga hapo asubui unabakiwa na elfu mbili mia nne hamsini, mchana kaza usile jioni nenda kwa mama ntilie akupe hata ubwabwa wa 500 au buku ikiwa ukoko freshi hapo utabakiwa na elfu moja mia nne ya kesho yake tenaWanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku
Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma
Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe Kwa mtaa
Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
Hapo alipo akija harudi hata jero...simanzi zinaanzia usiku wa mananeNjooo apa kitambaaa cheupe tuongee
Njooo apa kitambaaa cheupe tuongee
Umesomea chuo gani shahada yako ya uchumi mkuu?Achana na breakfast zuga zuga ikifika mchana tafuta sehemu wanapouza wali wa buku jero piga plate moja ikibaki buku jero nyingine utakula usiku wali au ugali wa buku jero au kiepe kikavu pia ni buku jero elfu tatu ni kubwa msiichukulie poa
case huyo sio mdada ashindie kashata!, matumbo yetu wanaume tunayajua sisi tu halafu hiyo hali hatakiwi kutulia anatakiwa kutafuta sasa nguvu za kutafuta atazitoa kwenye kashata na kahawa!.Sema na nafsi yako kuwa leo mko kwenye msimu wa kwaresma/Ramadhani hivyo mtafunga siku nzima. Hiyo buku tatu iweke kwenye wallet yako itakupa ujasiri wa kuwa nina hela na itaondoa hofu.
Ikifika saa moja usiku muda wa kufungua/kuvunja funga yako nenda kwenye kijiwe cha kahawa toa mia 5, hapo upate vikombe vya kahawa na kashata hadi ushibe.
Rudi nyumbani oga maji baridi, kunywa maji ya kuchemsha nyumbani au hata ya bomba lala usingizi wa amani huku kwenye wallet umebakiwa na 2,500 ya kuanza nayo kesho.
Leo isikutishe, unaimudu. Kesho huijui, ipangilie vyema.
Kila la Kheri.
hivi sinasikia imeungua hii🤔Njooo apa kitambaaa cheupe tuongee
👏👏👏vunja breakfast... vuta mpk saa saba ama nane kula mihogo ya buku!.
saa nne tena usiku kula tena mihogo ya buku shushia mimaji kama lita nane hivi ili kuidanganya minyoo kuwa leo kuna mafuriko!. hapo kaa karibu na choo maana kibofu kitakuwa kinajaa ni mwendo wakutoa kojo yani ni "mixx by yas" isiyo na makato!.
hiyo buku iliyobaki ndo kishika uchumba, yani ukiamka asubuhi halafu ukapambana ukakosa ndo itakufikisha kwa rafiki yako mihogo!.