Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetishaa MkuuInabidi uwe mpole buku 3 hela ndogo Sana.
Nakushauri utafute sehemu wanapouza yale mahindi ya kuchemsha, jioni unanunua moja tuseme watakuwa wanauza elfu 1. unarudi geto unakata nusu unashushia na maji unabakiza nusu cha breakfast asubuhi maji yanatakiwa yawe mengi Kwa hali yako itabidi maji ya kunywa yawe ya bombani tu, mchana unapiga deshi, jioni tena unaenda kununua mhindi wa kuchemsha unafanya hivyo.
Kwa stahili hiyo unaweza kujikuta katika hiyo elfu 3 unasevu elfu 2.
Nilishaishi hivyo kitambo huko nyuma acha tu ndugu yangu
Wewe jamaa sio mchum tu naina CPA imelala hapo 😄😄😄vunja breakfast... vuta mpk saa saba ama nane kula mihogo ya buku!.
saa nne tena usiku kula tena mihogo ya buku shushia mimaji kama lita nane hivi ili kuidanganya minyoo kuwa leo kuna mafuriko!. hapo kaa karibu na choo maana kibofu kitakuwa kinajaa ni mwendo wakutoa kojo yani ni "mixx by yas" isiyo na makato!.
hiyo buku iliyobaki ndo kishika uchumba, yani ukiamka asubuhi halafu ukapambana ukakosa ndo itakufikisha kwa rafiki yako mihogo!.
mimi hapana kuna watu huko wanakunywa mpk supu za jero mi sio mchumi kuna wachumia tumbo hao ndo kiboko...🤣Wewe jamaa sio mchum tu naina CPA imelala hapo 😄😄😄
Ni hela ya chips dume hiyoNi hii ya Kizimkazi
Hujajieleza vizuri, hiyo bk3 unataka ishi nayo kwa siku ngapiWanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku
Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma
Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe kwa mtaa
Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
Kama uko moro mjiini unapata ugali mboga mboga na dagaa kwa buku, kupika ukiwa na buku 3 ni gharamaSiku Moja tu mkuu
Usinywe chai,mchana piga maharage chapati 2 (1500/=) jioni rudia maharage chapati 2 (1500/=)Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku
Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma
Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe kwa mtaa
Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
Nimekutunuku tuzo ya heshima katika masuala ya uchumi wa katiHela nyingi Sana hio, naongea kwa experience kabisa. Unga kilo na parachichi mbili na nyanya za kachumbali
Nusu kilo mchana na parachichi Moja na kachumbali pilipili,na jioni Tena the same.
Kwa habari ya asub,fuata ushauri wa Dk Janabi.
Asubh pga chai ya jero na michemsho ya miogo ya jero hapo buku(1000) imesha kaa mchana balanc mpaka mida ya saa kumi pga karanga mbich ya jero kaa dakka kumi kunywa 1ltr ya maji saf dina yako nenda kwa mam ntilie pga ugali harage akuchanganyie na mboga zamajan ya 1500/ hapo sku imekaa iyo mkuuWanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku
Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma
Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe kwa mtaa
Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu