mkuu unaishi wapi vitu bei rahisi hivi!.. yani chapati 2 ni shilingi miatano!..skia chukua hapo majani ya chai ya hamsini chemsha chai tia kwenye chupa hiyo elfu 2 mia tisa toa mia tano kachukue chapata mbili piga hapo asubui unabakiwa na elfu mbili mia nne hamsini, mchana kaza usile jioni nenda kwa mama ntilie akupe hata ubwabwa wa 500 au buku ikiwa ukoko freshi hapo utabakiwa na elfu moja mia nne ya kesho yake tena
Mchele nusu na robo 1200Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku
Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma
Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe Kwa mtaa
Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
Jitafute unaweza kuwa comedian mzuri 😅😨🎽Kama hauna familia na upo DSM
Hakikisha Una hivi vitu
Hotpot
Chupa ya chai
Unachofanya ukipika Ahsubui unaweka katika hotpot unatoboa hadi usiku na kiporo unapata
Chai the same.
Na ikiwa vifaa hauna
Usikae mbali na eneo linaitwa Buguruni pale supu utapata 500 ,ugali au wali hautozidi 1000 na usiku 1000
Utabaki na 500 ya kupata Lita moja ya maji .
hakuna cha utaalamu mbwembwe tu..😅👏👏👏
Mtaalam
Una CPA ya mambo ya uchumi wa katiMchele nusu na robo 1200
Mafuta 500
Cabbage 500
Karot na kitunguu 200.
Jumla 2400
600 unatamba nayo kitambaa.
Hapo mchawi gas huna gas pikia gas asilia ( Kuni).
Nusu na robo, unakula asubuhi, mchana na usiku.
Sema hiyo sio kufunga,nikujishindisha njaaSema na nafsi yako kuwa leo mko kwenye msimu wa kwaresma/Ramadhani hivyo mtafunga siku nzima. Hiyo buku tatu iweke kwenye wallet yako itakupa ujasiri wa kuwa nina hela na itaondoa hofu.
Ikifika saa moja usiku muda wa kufungua/kuvunja funga yako nenda kwenye kijiwe cha kahawa toa mia 5, hapo upate vikombe vya kahawa na kashata hadi ushibe.
Rudi nyumbani oga maji baridi, kunywa maji ya kuchemsha nyumbani au hata ya bomba lala usingizi wa amani huku kwenye wallet umebakiwa na 2,500 ya kuanza nayo kesho.
Leo isikutishe, unaimudu. Kesho huijui, ipangilie vyema.
Kila la Kheri.
Kula buku kwa mama ntilieWanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku
Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma
Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe Kwa mtaa
Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
kama kuna kufunga mwambie aende msikitini au kanisani au kwa mchungaji au shehe ajifanye kama anaenda kusalimia hapo anavizia msosi tu wa usiku alafu hiyo buku tatu aweke mfukoni au akachukue karanga atembeze kwenye mabanda umizaSema na nafsi yako kuwa leo mko kwenye msimu wa kwaresma/Ramadhani hivyo mtafunga siku nzima. Hiyo buku tatu iweke kwenye wallet yako itakupa ujasiri wa kuwa nina hela na itaondoa hofu.
Ikifika saa moja usiku muda wa kufungua/kuvunja funga yako nenda kwenye kijiwe cha kahawa toa mia 5, hapo upate vikombe vya kahawa na kashata hadi ushibe.
Rudi nyumbani oga maji baridi, kunywa maji ya kuchemsha nyumbani au hata ya bomba lala usingizi wa amani huku kwenye wallet umebakiwa na 2,500 ya kuanza nayo kesho.
Leo isikutishe, unaimudu. Kesho huijui, ipangilie vyema.
Kila la Kheri.
hakuna cha utaalamu mbwembwe tu..😅
kwa dar sawa! ila huku nilipo hiyo alfu tatu mh!Achana na hizo habari za comedian buguruni supu inaanzia 500
kwa dar sawa! ila huku nilipo hiyo alfu tatu mh!
Maandazi 4, chapati 2 na chai ya mia 2, labda kama uko ulaya ya TanzaniaBuku lunch nanunua chakula gani
MtaalamMilo miwili yaani breakfast-lunch (brunch) inapigwa moja. Venue kwa mama lishe, piga ubeche wa chini/ukoko unalainishwa na mchuzi wa maharage, full plate ni buku tu, unashiba na kushushia kandoro.
Usiku saa mbili kwa mama lishe tena, ugali mboga saba kwa buku jero, shushia maji ya kandoro.
Unarudi home na chenji ya jero!!