Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Kwa tundu linalo tiwa mkojoKwa tundu linalotoa mkojo
mbona kule hatumwagilii maji tukitokaUnamwaga pale ulipokojoa
Hakuna salamu huwa naikwepa kama hii.Halafu mkikutana wanalazimisha kusalimiana mkononi
Ukojoe halafu usafishe anus?!
Kwenda kule![emoji16][emoji16][emoji16] nawasubiri siogopi povu mimi
NdioSo unaamini ujumbe umemfikia huyo mkaka mtanashati unaeishi nae hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba hujawahi kusikia binadamu wanashea choo?
Huyu ni mmojawao kabisa, eti maji na maji😀😀Sasa mkojo ni kama maji tubebe na maji😲
Kwa hili mtatusamehe tu maana hata akili inagoma kabisa ati mkojo na maji😅😅
Kitaeleweka tu.
Msimamo wangu uko palepale kama papa mobimba a.k.a papa mopao alivyong'ang'ania chato! Dar kuna koro..😜Huyu ni mmojawao kabisa, eti maji na maji😀😀
Siyo vizuri bana, kaone😀Msimamo wangu uko palepale kama papa mobimba a.k.a papa mopao alivyong'ang'ania chato! Dar kuna koro..😜
Mimi khantwe ni star? Wa bongo muvi au bongo fleva?
Kwahiyo vizuri kwenda na mjikopo au ndoo😲Siyo vizuri bana, kaone😀