Wanaume acheni huu uchafu

Napinga na nakemea kwa ukali hili nalishikia kidedea HATUTA NA HAITA,HAIWEZEKANI WANAUME TWENDE CHOONI NA MAJI KISA MKOJO!

#HATUPANGIWI.
 
Choo cha namna gani icho kinakosa maji Hadi ubebe?

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una kichaa wewe, hivi hujui mkojo una harufu?
MNATAKA KUTUPANDA KICHWANI SASA!

HUO USTAARABU PELEKENI HUKOHUKO
ILE HALAFU HUWA NI NZURI INATUKUMBUSHA MAMBO MENGI SANA IKIWEMO INATAKIWA TUBADILISHE AINA ZA VINYWAJI...
 
Mkuu maji tubebe kwani tunaenda chooni kuosha nini muda wa kukojoa?
 
Aisee hii ni new rule kutoka kwa serikali baada ya kuingia corona au ipo kitambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…