Wanaume acheni huu uchafu

Kama maji yapo me huwa nafungulia au kumwaga.
Lakini sio eti nibebe.
Kwa nini usibebe Kumbuka kuna kutembelea ndugu na jamaa nyinyi ndio wale unafika kwa mtu unahitaji kwenda msalani ila unasisitiza usilete maji naenda haja ndogo inashangaza.
 
Mmhh Hapa umetudanganya Testical itch inasababishwa That way kweli ??
Pugu boys Sababu ni Maji ya Kisimani (pondi ) wala sio kingine
 
Kwa nini usibebe Kumbuka kuna kutembelea ndugu na jamaa nyinyi ndio wale unafika kwa mtu unahitaji kwenda msalani ila unasisitiza usilete maji naenda haja ndogo inashangaza.
Nyie bebeni maji tu maana ndio mnachuchumaa😀
 
Kuna wengine Hadi mkojo unakuwa njano hata ka Kuna maji hawwamwagi aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkojo wa njano siyo powa kiafya, huwa najitahidi kunywa maji sana kuhakikisha nina mkojo mweupe.

Sema sasa hizi pombe ndiyo zinaharibu mahesabu, maana kiukweli kama nimekunywa huo ustaarabu wa kusafisha baada ya haja ndogo sidhani kama nitakuwa nao, hapo nisamehewe tu.

Ila najua inakera sana, maana mwenyewe pombe zikiisha ukaisikia ile harufu siyo powa.
 
The universe is challenging you into building Ur own 🏠 madam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…