Wanaume acheni huu uchafu

Wanaume acheni huu uchafu

Niliwahi kwenda nyumba moja niliondoka na fangasi za korodani kwa sababu ya uchafu wa mikojo ya chooni!

Kila mtu anamwaga kojo mifangasi inajaa mule unaweza kuugua mpaka roho ikatoka!

Shughuli ya fangasi waulize pugu boys watakuelezea habari yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhh Hapa umetudanganya Testical itch inasababishwa That way kweli ??
Pugu boys Sababu ni Maji ya Kisimani (pondi ) wala sio kingine
 
Kuna wengine Hadi mkojo unakuwa njano hata ka Kuna maji hawwamwagi aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkojo wa njano siyo powa kiafya, huwa najitahidi kunywa maji sana kuhakikisha nina mkojo mweupe.

Sema sasa hizi pombe ndiyo zinaharibu mahesabu, maana kiukweli kama nimekunywa huo ustaarabu wa kusafisha baada ya haja ndogo sidhani kama nitakuwa nao, hapo nisamehewe tu.

Ila najua inakera sana, maana mwenyewe pombe zikiisha ukaisikia ile harufu siyo powa.
 
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?

Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...

Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
The universe is challenging you into building Ur own 🏠 madam
 
Back
Top Bottom