Wanaume acheni huu uchafu

Wanaume acheni huu uchafu

Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?

Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...

Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema

Kajenge nyumba yako ndio utuwekee masharti. Nonsense.
 
Word kwa kweli nahisi hata UTI tunatoa kwao muda mwingine

Usikutane na mtu ambar hajajisaidia haja ndogo muda mrefu, au mlevi hajasafisha utajuta
Ni zaidi ya shida hii wanayotupa
 
Habari ya weekend
Leo naomba niwaulize enyi kaka zetu na baba zetu, aliyewaambia kuwa ninyi mkienda msalani kwa haja ndogo hamtakiwi kubeba maji ni nani?

Utaona mkaka mtanashati kabisa, kwa macho ya kawaida anaonekana anajiheshimu ila sasa muangalie mambo anayofanya ptuu yanatia aibu. Tunaoishi kwenye nyumba zenye vyoo vya kushea tuna tabu sana...

Hebu bebe ni maji sio uungwana kuingia kule mahali then unaacha harufu ya mikojo, asilimia kubwa ya wanaume mnafanya hivi sio vizuri kwa kweli.
Niwatakieni wiki njema
Usiombe ukute kojo ni la mnywa pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YANI MI NIMEMMAINDI SANA HUYU KHANTWE!

WEKENI MAJI HUKO SISI HATUWEZI FANYA HIZO SHUGHULI ZA KWENDA NA MAJI KWA HAJA NDOGO,IKIWA TUTAENDA NA MAJI BASI HAKUNA HAJA YA KUITA HAJA NDOGO!!!!
 
Back
Top Bottom