Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Pengine tunafelishana in the sense that hamna anaetaka kuonekana mnyonge, nyie mnatuonyesha ubabe kwahiyo na sisi tunawaonyesha jeuri.
Wow. mwanamke kutii amri za mumewe sio unyonge, ukiona amri ama maagizo (ambayo mnaona ni ubabe) yana kinzana na utashi wako toa nafasi kwa ajili ya majadiliano sio kuleta ujeuri. Unapoleta Ujeuri mwanaume anaona umemkosea heshima na mtaendelea kubaki kwenye hiyo circle hadi pale mtakapotoana uhai kudhihirisha nguvu zenu
 
Hapo kwe hiari uko sahihi 100% nimeshuhudia watu wenye hadhi na pesa,vyeo wakipigwa vya mbavu

Kosa tu kukosea kumtongoza mwanamke au kukosea kuiomba

Vitu ninavokuwa makini sana ....ninavomtongoza au kuiomba ni Flow in state

Yaan kufanya kitendo sahihi katika muda sahihi na sehemu sahihi ukawin targetโœ”โœ”โœ”

Unaweza fanya kitendo sahihi muda ukiwa sio sahihi โŽ๐Ÿคฃ


Mwanamke km mpira ndio maana vitooooomb wote huitwa player๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Je,katika hayo yote kuna uhusiano wa kumfikisha mwanamke?
Yaani kumpapasa vizuri,kumpatia utekenyo mpaka kwenye G point...hatimaye amwage lile futa Zito lile...mpaka kiuno na mgongo uwe mwepesi?........๐Ÿ™‚.....mashallah.
 

Waefeso 5:22-33



22 Wake, watiini waume zenu kama mnavyomtii Bwana. 23 Kwa maana mume ni kichwa cha mke kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa, ambalo ni mwili wake, naye mwe nyewe ni Mwokozi wa kanisa. 24 Basi, kama vile Kanisa linavyom tii Kristo, vivyo hivyo na wake pia wanapaswa kuwatii waume zao kwa kila jambo. 25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafsi yake kwa ajili yake ili 26 alitakase. Alifanya hivyo kwa kuliosha kwa maji na kwa neno lake 27 ili ajipatie kanisa linalongโ€™aa, lisilo na doa wala kunjamano wala kitu kingine cho chote kama hicho; liwe takatifu na bila kasoro. 28 Vivyo hivyo waume wawapende wake zao kama miili yao. Anayempenda mkewe anajipenda mwenyewe. 29 Hakuna mtu anayeuchukia mwili wake mwenyewe, bali huulisha na kuutunza vizuri, kama Kristo anavyolitunza kanisa lake. 30 Sisi tu viungo vya mwili wake. 31 โ€œKwa sababu hii, mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataungana na mkewe, na hawa wawili wata kuwa mwili mmoja.โ€ 32 Hili ni fumbo gumu kueleweka, nami nasema kuwa ni kielelezo kuhusu Kristo na kanisa. 33 Hata hivyo kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake; na mke naye ahakikishe anamheshimu mumewe. Watoto Na Wazazi
 
Dr Lizzy Siku zote huwa unaongea facts, kila neno uliloandika naunga mkono 100%

Niwe mkweli, sijawahi kuwa na utii genuine kwa mwanaume maisha yangu yote kama ilivyo sasa kwa kaka mzuri, sipingani nae katika mengi, ni mara chache mno na ni pale ninapoona kabisa kwamba hili sio sahihi.

Kupitia yeye nimegundua kila mwanamke ni mtiifu kwa mwanaume anayempenda kweli, na mwanaume huyo akawa muungwana asiye na chembe ya shaka juu ya upendo wake kwako. Yani kwamba akisema kitu kwa kuwa unajua anakupenda unaona kitakuwa chenye manufaa/sahihi.

Lakini kwa mwanaume mbabe, asiyejali kwakweli asahau utii wa kweli kutoka kwa mwanamke. Huwa tunawadanganya kutii ila kiukweli ni tunawapuuza kuepusha ugomvi.
 
Unaweza kumpa vyote na bado hasikuheshimu yaani kifupi wanawake hawaeleweki hata kidogo. Na mwanamke ukimpa sana hela na other stuff anakuona fala anaanza kukuletea dharau. Kila mtu abaki upande wake. Ulichokiandika sio sahihi.
Sasa unadhani mtu kama hakupendi ataacha kukuona "fala" pale unapotia juhudi na yeye hana malengo yoyote na wewe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ