Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hamuelewekagi nyie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa nkisema bweee
Ntakula ban
Acha nkae kimya
#onothafeminisitiindahause
😂😂😂😂Raha jipe mwenywPunnguza nyeto😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwe hiari uko sahihi 100% nimeshuhudia watu wenye hadhi na pesa,vyeo wakipigwa vya mbavu
Kosa tu kukosea kumtongoza mwanamke au kukosea kuiomba
Vitu ninavokuwa makini sana ....ninavomtongoza au kuiomba ni Flow in state
Yaan kufanya kitendo sahihi katika muda sahihi na sehemu sahihi ukawin target[emoji818][emoji818][emoji818]
Unaweza fanya kitendo sahihi muda ukiwa sio sahihi [emoji735][emoji1787]
Mwanamke km mpira ndio maana vitooooomb wote huitwa player[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unacheka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Samahani, niko out of topic, hii tabia ya nyie wadada kuita wanaume "rafiki" huwa mkituita hivyo mnamaanisha nini hasa? Like mnamaanisha rafiki kama kiunganishi tu cha maneno, au mnamaanisha kuwa hamuwezi mpa papuchi huyo mwanaume ndo maana mnamuita rafiki Kelsea Mzee wa kupambaniaThanks, na kwako pia rafiki.
Mwenyejii nimecheka had machozi, juzi tyuh kuna mtu aliniuliza "unataka nifanyeje kwako ili uwe na furaha na amani" nkamjibu "nipendee yaan nipende had nichanganyikiwe nihisi duniani tunaishi mie na wee tyuh"Tupendeni mpaka tuchanganyikiwe muone maajabu!! [emoji6][emoji16]
Si vinachekesha. MweeehMbona unacheka?
Ndio maana nikasema tunafelishana kwasababu mahusiano yamekua sehemu ya watu kuonyeshana hamna anaemmudu mwenzie badala ya kupendana, kuelewana na kuheshimiana. Hivi vitu vitatu vikiwepo mengine mengi yanakuja kirahisi, na kama ulivyosema, majadiliano ni bora zaidi kuliko kuleteana jeuri.Wow. mwanamke kutii amri za mumewe sio unyonge, ukiona amri ama maagizo (ambayo mnaona ni ubabe) yana kinzana na utashi wako toa nafasi kwa ajili ya majadiliano sio kuleta ujeuri. Unapoleta Ujeuri mwanaume anaona umemkosea heshima na mtaendelea kubaki kwenye hiyo circle hadi pale mtakapotoana uhai kudhihirisha nguvu zenu
HahahahahaFeminism movement kwenye ubora wake.
Nonsense.
MweweeSi vinachekesha. Mweeeh
It's sound good broSio kila mwanamke ni wa kuolewa akafit kukaa kwenye ndoa, baadhi ni wa kugongwa na kuzalishwa tu
Tatizo Upendo wetu mmeugeuza chanzo cha mapato. Ili uone umependwa hutaki kuoneshwa upendo pekeyake ule upendo wa lugha za mahaba na vizawadi eti ni hadi upewe hela ya kodi na takataka zingine ndio unaona unapendwa.Tupendeni mpaka tuchanganyikiwe muone maajabu!! 😉😁
Penzi jipya hilo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dr Lizzy Siku zote huwa unaongea facts, kila neno uliloandika naunga mkono 100%
Niwe mkweli, sijawahi kuwa na utii genuine kwa mwanaume maisha yangu yote kama ilivyo sasa kwa kaka mzuri, sipingani nae katika mengi, ni mara chache mno na ni pale ninapoona kabisa kwamba hili sio sahihi.
Kupitia yeye nimegundua kila mwanamke ni mtiifu kwa mwanaume anayempenda kweli, na mwanaume huyo akawa muungwana asiye na chembe ya shaka juu ya upendo wake kwako. Yani kwamba akisema kitu kwa kuwa unajua anakupenda unaona kitakuwa chenye manufaa/sahihi.
Lakini kwa mwanaume mbabe, asiyejali kwakweli asahau utii wa kweli kutoka kwa mwanamke. Huwa tunawadanganya kutii ila kiukweli ni tunawapuuza kuepusha ugomvi.
Kwa lugha ingine hukuwahi kupenda before. Ila sasa ndio uko na mtu wampenda kwa dhati toka moyoni.Dr Lizzy Siku zote huwa unaongea facts, kila neno uliloandika naunga mkono 100%
Niwe mkweli, sijawahi kuwa na utii genuine kwa mwanaume maisha yangu yote kama ilivyo sasa kwa kaka mzuri, sipingani nae katika mengi, ni mara chache mno na ni pale ninapoona kabisa kwamba hili sio sahihi.
Kupitia yeye nimegundua kila mwanamke ni mtiifu kwa mwanaume anayempenda kweli, na mwanaume huyo akawa muungwana asiye na chembe ya shaka juu ya upendo wake kwako. Yani kwamba akisema kitu kwa kuwa unajua anakupenda unaona kitakuwa chenye manufaa/sahihi.
Lakini kwa mwanaume mbabe, asiyejali kwakweli asahau utii wa kweli kutoka kwa mwanamke. Huwa tunawadanganya kutii ila kiukweli ni tunawapuuza kuepusha ugomvi.