Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

Umesema upande mmoja. Upande wa pili ni, Heshima ni tabia na malezi.

Uwezo wa kuonesha heshima ni busara. Na malezi ya watoto wengi ambao ndio wanawake wa sasa sehemu hii ilisahaulika sana.

Heshima ya kweli Iko ndani ya moyo wa mtu. Kinachoonekana kwa wengine ni treatment tuu inayojengwa juu ya heshima iliyoko ndani ya moyo wa mtu.

Kama.mtu hakulelewa kujiheshimu yeye mwenyewe, na wanaomzunguka, vumilia tuu Hilo ni zigo lako. Wanawake/Wanaume wote self-centered, wale wa take me as I am, hawawezi kamwe kuwa na heshima... Mnaweza mkaigiziana tuu kwa muda... Ila the truth is heshima ni zao la upendo genuine.

Na wengi Wala hatupendani kihiiivyo, tunacheza tuu character kwenye igizo la mahusiano.

Anayekupenda kweli kweli kabisa, atakulinda, atakutetea, atakupa uhuru, atakuonya na atakuficha..maana wewe ni wa thamani kwake. Na hiyo ndio heshima... Sio kusikiwa tuu hata kusikia kwa watu wawili wanaopendana huo nao ni usikivu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana Dr Lizzy kwa kujaribu kuwashauri watu humu ambao wengi ni fake being, wengine wanaficha makucha, ila wengine wameshindikana.

Humu mitandaoni hakuna uhalisia.

Ukiona mtu anasema baya la mwenzake haina maana kwamba huyo anayesemwa hana zuri.

Ukikuta mtu anasema mazuri yake haina maana kwamba hana baya.

Kadhalika, ukiona wanawake wanawasema wanaume vibaya haina maana kwamba hao wanaume ni wabaya na hawana jema..

Mfano, jiulize, kama wanaume ni wabaya je, hao wanawake wanajizalisha bila mchango wa wananume?

Mitandaoni huku watu wanakuja kumwaga hasira zao, na akishaandika labda kuhusu mumewe hasira zinaisha na anaenda kumpa utamu tena mahaba yote.
 
Tupendeni mpaka tuchanganyikiwe muone maajabu!! [emoji6][emoji16]
Mwenyejii nimecheka had machozi, juzi tyuh kuna mtu aliniuliza "unataka nifanyeje kwako ili uwe na furaha na amani" nkamjibu "nipendee yaan nipende had nichanganyikiwe nihisi duniani tunaishi mie na wee tyuh"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana nikasema tunafelishana kwasababu mahusiano yamekua sehemu ya watu kuonyeshana hamna anaemmudu mwenzie badala ya kupendana, kuelewana na kuheshimiana. Hivi vitu vitatu vikiwepo mengine mengi yanakuja kirahisi, na kama ulivyosema, majadiliano ni bora zaidi kuliko kuleteana jeuri.
 
Penzi jipya hilo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa lugha ingine hukuwahi kupenda before. Ila sasa ndio uko na mtu wampenda kwa dhati toka moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…