Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Divisin
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.

Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.

Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.

Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Division of labour
 
Kuna dada jirani yangu hapa,analima kwa mkono,kama kibarua na mashamba ya familia yake....
Anasema anafanya yote hayo kupambania ada ya watoto shule...
Ana watoto sita....mumewe kazi yake ni kuzungusha kende hapa na pale.
Bas mie natazama tu...
Hivi kuolewa ni lazima sana eti wandugu?
🤣🤣🤣🤣 analima kama kibarua mume anazungusha kende umejua kunichekesha
 
Ulimuaibisha ataachaje kuongea ila kama mngekuwa wenyewe asingebwata siku 7😅 ila siku 7 ni nyingi sanaa looh!!
😄😄😄Had watu waliingilia kat ndo nilipata msamaha
 
Hutaki kutawaliwa BAKI KWENU
Hutaki tumikishwa BAKI KWENU
Hutaki kuwa Chini ya Mume, BAKI KWENU

Solution ni KUBAKI KWENU tu tofauti na hapo lazima utimize hayo ndio majukumu yako.

Kusaidiwa utasaidiwa lakini usitilie huruma kwamba unaonewa.

Kama hiyo ni ngumu saana tubadilishaneni Mlipe BILLS ZOTE sisi tuoshe,tufue,tupike.

Msiyachukulie POA majukumu yetu sababu tunatoka asubuhi tunarudi jioni tunawambia siku ilikua POA mnahisi ilikia poa KWELI.

Hakuna siku POA kwa kiumbe MWANAUME.. muheshimu mume wako,mpende,mfulie,kuwa mpole tu.

Anajitoa sadaka kwa mengi huko nnje ili upate hata hayo maji ya kufulia hizo nguo,sabuni ya kuoshea hivyo vyombo,nk.

Mwanaume na apewe HESHIMA yake., Wanawake Mjifunze kuhimili na kuyakubali majukumu yenu.
 
Sawa ni mtazamo wako ila ndoa ya kweny Tv usiilete kweny maisha halisi utaumiza kizaz chako
 
A muscular Feminist~ Song by Disasta.

Isikilize vizuri sana hii nyimbo kuna kitu utakipata.

Hauwi mwamba kwa kumuweka mwanaume chini au kutaka usawa. Kila mtu aplay role yake na awe bingwa.

Kaa chini ufundishwe majukumu yako kwenye ndoa then ukiona hauwezi, sidhani kama kuna sehemu umeshikiwa silaha.... ONDOKA nenda kwenu ambako unaishi utakavyo...

Sometimes mnachosha watu tu.
 

Attachments

Si na wewe uoe mkuu uone ilivyo kazi kulea mtoto wa mtu hadi azeeke na akikuletea shobo ufungwe jela maisha na zaid ya hapo ukizingua ufe wewe...

Na mali zako unazotafuta kwa jasho na damu ziitwe za watoto na ndugu zako hawana haki juu yake

Hiyo ya kufua mbona ndogo sana...
Wewe ukirudi nyumbani huwa unasafisha nyumba ,unafua unawangalia watoto? Mke anafanya yote hayo Kwa pamoja, embu chukua likizo wiki mke awe mtafutaji ukae nyumbani na watoto zako tena wadogo ili ujidunze.
 
Back
Top Bottom