Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Unadhani wanaume wote wanaakili sawa , wengine wake zao kupika ni hiyari yake sio lazima.
Ndio maana nikasema kwa mwaume mjinga ndiye atakubaliana na upuuzi wako.

Siwezi kulelewa kimaadili ya wazazi nikakubali mwanamke aniletee mawazo kama yako nikakubali.

Haki sawa zinaishia majukwaani huko ukifika kwangu fata utaratibu.

Umesikia wewe bichwa
 
Wapo telee wasojua kusoma na wapo madarasa ya juu. Mtoto darasa la 4 hajui kusoma.
Hamjaoa watumishi bali wake.
mke ni nani? na wajibu wake ni nini? pengine hata hujui umemezeshwa tu huko
 
hapo ndio utaelewa mwanamke ni msaidizi, sasa mwanaume kupata yao sio lazima aoe, mayai yapo mengi yanazagaa, wewe kama unafikiri kuzaa ndio kilichokupeleka kwa mwanaume futa
Oohh!! Itabdi tuanzishe campeni ya kataa kuzalishwa halafu tuone
 
Ndio maana nikasema kwa mwaume mjinga ndiye atakubaliana na upuuzi wako.

Siwezi kulelewa kimaadili ya wazazi nikakubali mwanamke aniletee mawazo kama yako nikakubali.

Haki sawa zinaishia majukwaani huko ukifika kwangu fata utaratibu.

Umesikia wewe bichwa
Hao wanaume sijui atawakuta wapi?
 
Ndio maana nikasema kwa mwaume mjinga ndiye atakubaliana na upuuzi wako.

Siwezi kulelewa kimaadili ya wazazi nikakubali mwanamke aniletee mawazo kama yako nikakubali.

Haki sawa zinaishia majukwaani huko ukifika kwangu fata utaratibu.

Umesikia wewe bichwa
Mbona makasiriko😂 uwe na heshima kwa mkeo akikosea umwambie kwa hekima sio kumnanga hadharani
 
Oohh!! Itabdi tuanzishe campeni ya kataa kuzalishwa halafu tuone
hutaweza mnavyopenda mihogo, utafeli, wenzako wanatafuta mwanaume wa kumpa mtoto, kuna wengine wako tayari kwa hiari yao kuwa michepuko wakitimiza majukumu yote ya ndoa, utafeli pakubwa sana
 
hutaweza mnavyopenda mihogo, utafeli, wenzako wanatafuta mwanaume wa kumpa mtoto, kuna wengine wako tayari kwa hiari yao kuwa michepuko wakitimiza majukumu yote ya ndoa, utafeli pakubwa sana
Huwezi kusema umeshindwa bila kujaribu.
 
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.

Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.

Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.

Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
We ushaolewa?
 
Mbona makasiriko😂 uwe na heshima kwa mkeo akikosea umwambie kwa hekima sio kumnanga hadharani
Tena wewe mimi ninakuweza. 😃
Huwezi kuniletea hizo habari darling.
Kuwa mke mwema uenjoy maisha. Mambo ya kubeba mimba usijali ni tumbo tu linaongezeaka unene!
 
Umeandika ujinga, tunapokuja kuoa sio kwamba hatujui kupika au kifua nk no tunajua sana tungeweza kujifanyia wenyewe hayo, ila kutokana na majukumu inabidi uwe na msaidizi ambaye ni mke.

Sasa kama akiona kufanya hayo ni utumwa aondoke nifanye mwenyewe nikijua kuwa nipo bila msaidizi.
Unaona sasa, kupika mnajua na kufua ila mnaowa sio kwasababu ya kupikiwa Bali kutimiza mahitaji ya mwili kihalali. Kwahy kupika haipo ingekuwa ni kwaajili hiyo msingeoa
 
Wajibu wake kuzaa, hata kulea sio jukumu lake sembuse kupika au kufua
kuzaa ni kwa mwanamke yeyote sio mke tu, mbona una kichwa kigumu? hao waliozaa wanaitwa Singo Mothers wameolewa, pengine na wewe ni mmoja wao
 
Wapi imeandikwa kufua, kupika ni jukumu la mke!?
Acha kukaza fuvu ,we unataka mmeo apike,afue ,aogeshe watoto ukiwa uko wapi? na unafanya nn?? Nyie ndio mnatafuta kuwa single mamii
 
Tena wewe mimi ninakuweza. 😃
Huwezi kuniletea hizo habari darling.
Kuwa mke mwema uenjoy maisha. Mambo ya kubeba mimba usijali ni tumbo tu linaongezeaka unene!
Baada ya unene ukoo wenu unaongezeka, usijisahaulishe
 
Back
Top Bottom