Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Kasema mwenyewe sasa kwanini nipingane naye wakati kasema mwenyewe.
Mfumo dume mnaulalamikia pale unapokuwa hauwanufaishi. Mfano linapokuja suala la mwanaume kutoa pesa za nyumbani hapo sasa si mfumo dume hapo sasa ni majukumu yake.
Naongezea hapa kutoa Mahali pia ni mfumo dume... kwanini isiwe 50/50 kama wanataka tufanye kazi kwa usawa

Majority ya wanawake wanao ona wanaonewa ni wapumbavu
 
Kupika kufua ni vitu ambavyo havina maana mwanamke kulia kulia

Kwanza ukimpenda mumeo huwez kutamni ale nje Wala asile chakula chako
Hayo ni matendo ya Kuonyesha upendo na yanabust upendo pia

Kama ni mkorofi hapo sijui wajuz watakuja wakusaidie

Jifunze kuwafurahisha unaowapenda
Hii breed yako inapatikana wapi mkuu, maana siku hizi wanawake wenye fikra hizi adimu na mimi nikajichukulie mmoja kwa kweli.
 
Ananawa tu huyu hawezi kuoga
Ipo ng'ombe moja nilimwambia pika tule ilijibu nimechoka pia mimi sio house girl wako alaf muda huo huo yupo tayari kutoka kinyerezi mpaka sinza/kinondoni twende tukale sehemu za kujisnap ili aonekane katolewa out

(January nlipanga nianze mchakato wa ndoa )

Ila kwa sasa nina celebrate 3 week after kumuacha kama alivyo na komwe lake kama embe la kibada

Shenzi.
 
Hii breed yako inapatikana wapi mkuu, maana siku hizi wanawake wenye fikra hizi adimu na mimi nikajichukulie mmoja kwa kweli.
Wapo wapo mkuu tafuta tafuta
Upendo wa aina hiyo huwez kumkwaza mtu watu wanapenda Kuishi na watu wanaonyesha kuwajali hata Kwa vidogo vidogo mtu aache Hela ya kula alotafuta Kwa jasho na hekaheka alafu upike havielewek

Nakumbuka nishawah kupika ugali mbichi tukiwa na wageni wakat nipo darasa 7 mama aliongea siku 7 had majirani walikuja kuamua😄😄😄
Huyo mama imagine mume
Ni aibu kufanya baadhi ya vitu kwenye familia lazima ujifunze na ukubali ujifunze
 
Nilichogundua mleta mada ni;
  • mvivu uliyetukuka na halipendi kijifunza
  • Hataki kukubali mapungugu yake
  • Ni mbishi na hasikii
  • Katoka kwenye malezi ya kufanyiwa vitu na wasaidizi
  • Anataka yeye awe mtawala na alelewe kama yai, alafu kakutana na chuma cha pua
  • Hapendi kufanya kazi
Kabla ya kuolewa kwanini hukujifunza kupika!?
Kama hapo yamekushinda kwanini haurudi kwenu!?, au na wenyewe hawakutaki maana wanajua wewe ni changamoto
Ukienda roma jifunze kuishi kama waroma, huwezi tembea haujafungiwa kamba
Wewe ni mvivu na mchafu sana
 
Watu siku hizi wanadhani maisha ya kwenye tv ndiyo maisha halisi.
Hebu nielekeze wanapatikana wapi mkuu.
Acha kabisa watu wanachukulia vitu simple sana siku hizi.
 
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.

Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.

Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.

Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Kama unauwezo wa kuoa nawewe oa tu mkuu, shida iko wapi
 
Nilichogundua mleta mada ni;
  • mvivu uliyetukuka na halipendi kijifunza
  • Hataki kukubali mapungugu yake
  • Ni mbishi na hasikii
  • Katoka kwenye malezi ya kufanyiwa vitu na wasaidizi
  • Anataka yeye awe mtawala na alelewe kama yai, alafu kakutana na chuma cha pua
  • Hapendi kufanya kazi
Kabla ya kuolewa kwanini hukujifunza kupika!?
Kama hapo yamekushinda kwanini haurudi kwenu!?, au na wenyewe hawakutaki maana wanajua wewe ni changamoto
Ukienda roma jifunze kuishi kama waroma, huwezi tembea haujafungiwa kamba
Wewe ni mvivu na mchafu sana
😂Don't judge a book by it's cover. Maana sio kwa povu Hilo
 
Back
Top Bottom