Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui unachotaka, nimekuuliza ikiwa mwanamume habadiliki na wewe unataka amani, utafanye?Sieleweki au wewe ndo hujaelewa!?.
Ukiishi na mke kwa heshima hata akikosea Kufanya hzo kazi huwezi kumnanga mbele za watu, lakini ukiishi nae kama mtumishi hata akikosea utabwatuka popote pale hutojali kulinda heshima yake.
Hujaelewa wapi!??
Wenye hivi vijitabia waache kuwananga wake zao hadharani, haipendezi.We kwani unatakaje labda umeshaona mwanaume habadiliki na wewe unataka mwanaune awe wa aina fulani na hataki utafanyaje labda ili kuipata amani yako na upunguze malalamiko?
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Na asipobadilika nini solutions?Wenye hivi vijitabia waache kuwananga wake zao hadharani, haipendezi.
Kwakua nimeweka mada mimi haimaanishi inanihusu.Hujui unachotaka, nimekuuliza ikiwa mwanamume habadiliki na wewe unataka amani, utafanye?
Then geuza mambo kinyume yani me katulia alafu ke anamnanga na kubwatuka , nipe solutions nifanyeje as me?
Basi io kila mmoja aende njia yake ndio SOLUTIONS.Kwakua nimeweka mada mimi haimaanishi inanihusu.
Swali lako ni mada tofauti na iliyopo ila kwa kukujibu.
Kwanza kabla ya kutatua tatizo ujue chanzo Cha tatizo.
Anabwatuka kwanini!?, Umejaribu kufanya nae mazungumzo kuhusu Hilo, kama kosa ni lako umejaribu kurekebisha unapokosea!?, Kama ni tabia yake na haachi pmja na mijadala ya muda mrefu, na kushirikisha watu wa karibu , wameashindwa pia , basi Kila mmoja aende njia yake maana mmeshindwa kukaa kwa maelewano.
Kwa hiyo kazi ya mke ni kulombwa tu. Kufua nguo 👐.Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Na kama mtu hajui kupika haifai kumnanga kisa hajui, ingia jikoni mwite umuelekeze kwa upendo kama nawe hujui , mwache ajifunze taratibu sio kumuaibisha mbele za watu.Kupika kufua ni vitu ambavyo havina maana mwanamke kulia kulia
Kwanza ukimpenda mumeo huwez kutamni ale nje Wala asile chakula chako
Hayo ni matendo ya Kuonyesha upendo na yanabust upendo pia
Kama ni mkorofi hapo sijui wajuz watakuja wakusaidie
Jifunze kuwafurahisha unaowapenda
Kwani wakati unasoma shule za mabasi ya njano huku ukiigiza uzungu na kudekadeka dady ulikua hujui kunamaisha mengine baada ya kusoma. Kazi kwako pambana kama huwezi ndoa pisha mwanamke mwezako aingie maana foleni ni kubwaYaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Mama mkwe?Anayemfundisha mtoto wa kike majukumu anayokuja kufanya akiolewa ni mama mkwe,sasa kama mama mkwe naye hafanyi huko nyumbani basi muoaji imekula kwako...
Hela anazokupa mmeo ni za hisani sio jukumu lake HiloYaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Litakua vivu na kuoga hili..... shenziKwa uzi huu najaribu kukuchora hapo lazima umeweka kucha za kubandika ndefu, unavaa wigi, unapaka makeup kama vumbi, ukipika leo mchana sufuria la ukoko unaosha kesho kwanini usisemwe mtaa mzima? Maana ukisemwa peke yako hubadiliki
"Kwahiyo" wewe mchango wako kwenye io ndoa yenu ni nini?Wapi imeandikwa kufua, kupika ni jukumu la mke!?
Kuna tofaut kubwa kujua kupika na kupenda kupika mtu km hajui na anapenda Kujifunza ni lazima jamn classes online kla Kona Kila chakula Bure na za kulipia unafundishwa step by stepNa kama mtu hajui kupika haifai kumnanga kisa hajui, ingia jikoni mwite umuelekeze kwa upendo kama nawe hujui , mwache ajifunze taratibu sio kumuaibisha mbele za watu.
Ananawa tu huyu hawezi kuogaLitakua vivu na kuoga hili..... shenzi