Marriage is all about responsibilities, marriage is full of responsibilities.
Ndoa ina majukumu mengi sana, mume ana yake na mke ana yake. Mnaweza kusaidiana lakini sio lazima kama haujisikii.
Wengi wanaofurahia ndoa ni wale wanaofurahia kuyafanya hayo majukumu, na hii huwa inachangiwa sana na makuzi ya kila mmoja.
Wengi wa waliokulia kwenye comfort zone wakifika kwenye ndoa wanapata tabu sana, wanaona kama wanateswa, hasa nyie wanawake. Wanaume ndio worse zaidi, maana wengi wanaona kama majukumu ya ubaba ni ya mama pia.
Hayo mengine unayoyasema ya kutukanana ni personal habits tu, hazihusiani na kutimiza majukumu yako ya ndoa.