Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwanaume ambae anamtangaza Mkewe,hizo ni Tania za nyie Wanawake washenzi.Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Ulimuaibisha ataachaje kuongea ila kama mngekuwa wenyewe asingebwata siku 7😅 ila siku 7 ni nyingi sanaa looh!!Wapo wapo mkuu tafuta tafuta
Upendo wa aina hiyo huwez kumkwaza mtu watu wanapenda Kuishi na watu wanaonyesha kuwajali hata Kwa vidogo vidogo mtu aache Hela ya kula alotafuta Kwa jasho na hekaheka alafu upike havielewek
Nakumbuka nishawah kupika ugali mbichi tukiwa na wageni wakat nipo darasa 7 mama aliongea siku 7 had majirani walikuja kuamua😄😄😄
Huyo mama imagine mume
Ni aibu kufanya baadhi ya vitu kwenye familia lazima ujifunze na ukubali ujifunze
Utajioa mwenyewe kwa mindset yako. Hakuna mwanaume anayejitambua atakubali upuuzi wako.Kwahy hoja Yako ni ipi!??
Kah! sasa amekuja kutembea? mke hajui kufua wala kupika hafai kuitwa mke, nguo zake amfikie nani? chakula ampikie nani? maana ya usaidizi ni nini? na sababu zipi za msingi zimfanye aolewe?? usaidizi wenyewe ndio huo, kabla mwanaume hajaoa alikuwa anajipikia na kujifulia na kutafuta, sasa amekuja msaidizi mwanaume anabaki na jukumu la kutafuta ila hayo mengine anasaidiwa ili atafute kwa nguvu kufikia malengo. ukiona hutaki hayo kaa kwenu usijipe presha ya kuolewa, au oa weweYaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Eeh ndo point mwache mtu ajifunze usimnange hadharani ikiwa hajui kazi flani, mume ahifadhi aibu ya mkewe na Sio kuitoa watu wote wakajua kwamba hajui kazi flaniKuna tofaut kubwa kujua kupika na kupenda kupika mtu km hajui na anapenda Kujifunza ni lazima jamn classes online kla Kona Kila chakula Bure na za kulipia unafundishwa step by step
Mwanaume ngumu kufundisha kuepuka kulaumiwa akubali Kujifunza mwenyew
kwani hawezi kujaza ukoo kwa njia nyingine mpaka aoe? kuna Watu wamezaa na majina wanatumia ya waliozaa nao na hawajaolewa, mbegu unazo za kwako au unatumia za mwanamume?Kujaza ukoo wenu kazi ndogo. Mtoto azae mwengine jina abebe lako , wee unaona kazi ndogo hiyo bado unibebeshe na matusi juu nikikosea kazi.
Ndomna Kuna viben ten siku hziKah! sasa amekuja kutembea? mke hajui kufua wala kupika hafai kuitwa mke, nguo zake amfikie nani? chakula ampikie nani? maana ya usaidizi ni nini? na sababu zipi za msingi zimfanye aolewe?? usaidizi wenyewe ndio huo, kabla mwanaume hajaoa alikuwa anajipikia na kujifulia na kutafuta, sasa amekuja msaidizi mwanaume anabaki na jukumu la kutafuta ila hayo mengine anasaidiwa ili atafute kwa nguvu kufikia malengo. ukiona hutaki hayo kaa kwenu usijipe presha ya kuolewa, au oa wewe
Alitakiwa ajifunze akiwa kwao, sio ajifunze ndoani kwani hizo kitchen party ni fasheni?Eeh ndo point mwache mtu ajifunze usimnange hadharani ikiwa hajui kazi flani, mume ahifadhi aibu ya mkewe na Sio kuitoa watu wote wakajua kwamba hajui kazi flani
Umeandika ujinga, tunapokuja kuoa sio kwamba hatujui kupika au kifua nk no tunajua sana tungeweza kujifanyia wenyewe hayo, ila kutokana na majukumu inabidi uwe na msaidizi ambaye ni mke.Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Huyo mwanaume mbegu bila yai inajizaa!?. Hata wasiolewe kwani ni wanaume au wanawake!?.kwani hawezi kujaza ukoo kwa njia nyingine mpaka aoe? kuna Watu wamezaa na majina wanatumia ya waliozaa nao na hawajaolewa, mbegu unazo za kwako au unatumia za mwanamume?
ndio maana nimesema huwezi kuolewa, oa usilete usumbufu wa kuanza kukalishwa vikao kwa mambo ambayo ilikuwa ni wajibu na msingi, siku hizi mtoto kuandikisha mtoto wa darasa la kwanza sharti ajue kusoma na kuandika. Sasa kwenye ndoa msingi ni huo, kwetu ukiolewa tu unakabidhiwa jiko ukweni kabla hujaenda kwa mumeo, hakuna shortcutNdomna Kuna viben ten siku hzi
kaandika ujinga sanaUmeandika ujinga, tunapokuja kuoa sio kwamba hatujui kupika au kifua nk no tunajua sana tungeweza kujifanyia wenyewe hayo, ila kutokana na majukumu inabidi uwe na msaidizi ambaye ni mke.
Sasa kama akiona kufanya hayo ni utumwa aondoke nifanye mwenyewe nikijua kuwa nipo bila msaidizi.
hapo ndio utaelewa mwanamke ni msaidizi, sasa mwanaume kupata yao sio lazima aoe, mayai yapo mengi yanazagaa, wewe kama unafikiri kuzaa ndio kilichokupeleka kwa mwanaume futaHuyo mwanaume mbegu bila yai inajizaa!?. Hata wasiolewe kwani ni wanaume au wanawake!?.
Wapo telee wasojua kusoma na wapo madarasa ya juu. Mtoto darasa la 4 hajui kusoma.ndio maana nimesema huwezi kuolewa, oa usilete usumbufu wa kuanza kukalishwa vikao kwa mambo ambayo ilikuwa ni wajibu na msingi, siku hizi mtoto kuandikisha mtoto wa darasa la kwanza sharti ajue kusoma na kuandika. Sasa kwenye ndoa msingi ni huo, kwetu ukiolewa tu unakabidhiwa jiko ukweni kabla hujaenda kwa mumeo, hakuna shortcut
Lazima ujue vya msingi sasa, hapo itakiwa rahisi kujifunza hata chakula cha asili cha mumeoHata ndoani unajifunza huwezi jua vyote . Kujifunza hakuna mwisho ni safari yenye kuendelea