Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

Divisin
Division of labour
 
Ukute ana mdomo kama wale wa Jeifu mbona huyo mke atakonda kwa sonona
 
🀣🀣🀣🀣 analima kama kibarua mume anazungusha kende umejua kunichekesha
 
Ulimuaibisha ataachaje kuongea ila kama mngekuwa wenyewe asingebwata siku 7πŸ˜… ila siku 7 ni nyingi sanaa looh!!
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Had watu waliingilia kat ndo nilipata msamaha
 
Hutaki kutawaliwa BAKI KWENU
Hutaki tumikishwa BAKI KWENU
Hutaki kuwa Chini ya Mume, BAKI KWENU

Solution ni KUBAKI KWENU tu tofauti na hapo lazima utimize hayo ndio majukumu yako.

Kusaidiwa utasaidiwa lakini usitilie huruma kwamba unaonewa.

Kama hiyo ni ngumu saana tubadilishaneni Mlipe BILLS ZOTE sisi tuoshe,tufue,tupike.

Msiyachukulie POA majukumu yetu sababu tunatoka asubuhi tunarudi jioni tunawambia siku ilikua POA mnahisi ilikia poa KWELI.

Hakuna siku POA kwa kiumbe MWANAUME.. muheshimu mume wako,mpende,mfulie,kuwa mpole tu.

Anajitoa sadaka kwa mengi huko nnje ili upate hata hayo maji ya kufulia hizo nguo,sabuni ya kuoshea hivyo vyombo,nk.

Mwanaume na apewe HESHIMA yake., Wanawake Mjifunze kuhimili na kuyakubali majukumu yenu.
 
Sawa ni mtazamo wako ila ndoa ya kweny Tv usiilete kweny maisha halisi utaumiza kizaz chako
 
A muscular Feminist~ Song by Disasta.

Isikilize vizuri sana hii nyimbo kuna kitu utakipata.

Hauwi mwamba kwa kumuweka mwanaume chini au kutaka usawa. Kila mtu aplay role yake na awe bingwa.

Kaa chini ufundishwe majukumu yako kwenye ndoa then ukiona hauwezi, sidhani kama kuna sehemu umeshikiwa silaha.... ONDOKA nenda kwenu ambako unaishi utakavyo...

Sometimes mnachosha watu tu.
 

Attachments

Wewe ukirudi nyumbani huwa unasafisha nyumba ,unafua unawangalia watoto? Mke anafanya yote hayo Kwa pamoja, embu chukua likizo wiki mke awe mtafutaji ukae nyumbani na watoto zako tena wadogo ili ujidunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…