Sasa kwenda shule kunaondoa Nini katika tabia ya mtu ya kashfa!?. Ukiweka msaidizi kwa pesa zako , atakukashfu tu hujui kupika, kwanini anapikiwa na msaidizi. Tabia ni kama ngozi ya mwili vigumu kuibadiliTulia dawa ikuingie. Mwanamke ukitaka kuishi vizuri bila kutumikishwa hakikisha umeenda shule na unajiweza kiuchumi. Kitendo cha kumyegemea mtu mwingine ndio ule tayari ni utumwa nilazima ufanye anavyotaka yeye iwe nikizuri au kibaya. Hapa unaweza kubisha?
ulishawahi kuishi na samia ukaona anayafanya hayo kwa mumewe..wanaume mmezidi mfumo dume dunia imechange huezi pima contribution ya mke kwa kuangalia tu mchango wake kwa kazi za ndani ndio maana TEKNOLOJIA imerahisisha maisha kuna machines za kusupport kazi unless otherwiseNa mimi nikuulize unajua maana ya majukumu ya mke kwenye familia?
Shida ufeminist umewapumbaza. Rais wako mwenyewe na cheo alichonacho anakwambia akiwa kwake anampikia hadi mumewe na wala si jambo la kumshusha wala nini. Unakuta mtu ambaye anatukanwa mtaa mzima anajikuta kumpikia mmewe anadai si jukumu lake, lakini mmewe kumpa matumizi basi ni jukumu la mume.
Basi hayo ni mapungufu ya baadhi ya hao WanaumeMada yangu sio kutogawana majukumu Bali kumkashifu mtu kwakule kukosea katika kufanya huo mgawanyo wa majukumu.
Labda usome vzrii.
Kubali ukatae ukiwa unategemea kitu kutoka kwa mtu mwingine basi wewe ni mtumwa na ana haki yakukufanyia chochote . Mwanamke ukitaka usiteseke usiwe tegemezi .fulstopSasa kwenda shule kunaondoa Nini katika tabia ya mtu ya kashfa!?. Ukiweka msaidizi kwa pesa zako , atakukashfu tu hujui kupika, kwanini anapikiwa na msaidizi. Tabia ni kama ngozi ya mwili vigumu kuibadili
Kwani unadhani pia ni kazi rahisi kuishi na mtu mwenye gubu na kashfa mpka umzeeshe!?. Bado kujaumwa presha na magonjwa ya sononaSi na wewe uoe mkuu uone ilivyo kazi kulea mtoto wa mtu hadi azeeke na akikuletea shobo ufungwe jela maisha na zaid ya hapo ukizingua ufe wewe...
Na mali zako unazotafuta kwa jasho na damu ziitwe za watoto na ndugu zako hawana haki juu yake
Hiyo ya kufua mbona ndogo sana...
Kasema mwenyewe sasa kwanini nipingane naye wakati kasema mwenyewe.ulishawahi kuishi na samia ukaona anayafanya hayo kwa mumewe..wanaume mmezidi mfumo dume dunia imechange huezi pima contribution ya mke kwa kuangalia tu mchango wake kwa kazi za ndani ndio maana TEKNOLOJIA imerahisisha maisha kuna machines za kusupport kazi unless otherwise
na ndiyo maana toka mwanzo nimekwambia mume wako atakuwa na mdomo.Yaani kwanini umtukane mtu wakati unaweza kuongea nae kimya kimya. Kakushinda mrudishe kwao , kwani umekazimishwa uendelee nae.
sijui kwa wengine but in actual sense wanawake siku hizi tumeimprove sana. hao wanaondelea kudai kodi ya meza sijui ikoje maana siku hizi hata maisha ni kupeana support imagine unakua na mwanamke mnayesapotiana kufikia ndoto kubwa huwezi kuwaza habari ya kufua sijui maana mshasolve kwa kuweka machine,kupika kuna miundombinu supportive. trust me kuna LEVEL za wanaume hawahitaji hayo mambo maana machines zipo kusimplify work and not otherwise.Kasema mwenyewe sasa kwanini nipingane naye wakati kasema mwenyewe.
Mfumo dume mnaulalamikia pale unapokuwa hauwanufaishi. Mfano linapokuja suala la mwanaume kutoa pesa za nyumbani hapo sasa si mfumo dume hapo sasa ni majukumu yake.
Si umwambie babako badala ya kupayukia huku?Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Kama ni hivyo sawa na ndiyo maana kuna comment nimesema kama mwanamke anafanya kazi, basi mtakuwa na mdada wa kazi lakini bado majukumu ya huyo mdada atayasimamia mama kujua kama yanaenda na ndo maana mdada wa kazi anareport kwa mama si kwa baba.sijui kwa wengine but in actual sense wanawake siku hizi tumeimprove sana. hao wanaondelea kudai kodi ya meza sijui ikoje maana siku hizi hata maisha ni kupeana support imagine unakua na mwanamke mnayesapotiana kufikia ndoto kubwa huwezi kuwaza habari ya kufua sijui maana mshasolve kwa kuweka machine,kupika kuna miundombinu supportive. trust me kuna LEVEL za wanaume hawahitaji hayo mambo maana machines zipo kusimplify work and not otherwise.
so kuna tofauti ya familia na familia hasa kiuchumi na kupata exposure za maisha mengine. Ahsante
watakuita feminist......akalelewe na mama yake if so. matusi tena badala ya pole na ahsante lol..Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
🤣🤣🤣 99%of men can over come that .. not the financial drainer ..hey...!Kwani unadhani pia ni kazi rahisi kuishi na mtu mwenye gubu na kashfa mpka umzeeshe!?. Bado kujaumwa presha na magonjwa ya sonona
Kama kupika, kufua ni hisani, ni lipi jukumu la mke kwenye ndoa?Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa.
Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?.
Hajui kupika pika mwenyewe.
Umekabidhiwa mke na Sio mtumishi. Ishi nae kwa heshima, ikitokea kakosea kufanya kazi husika mueleweshe kwa upole na kwa staha sio kumtangaza mtaa mzima hizo ni kashfa.
Kazi wazifanyazo wake zenu ni Ihsani na upendo wao kwenu sio jukumu lake hilo, yaani mtu unajitolea na Bado unakashfiwa.
Vipi unapingana naye? Au unasimama naye mkuu?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani alikulazimisha akuoe?Yaani mtu umesema ngoja basi tusogeze maisha Bado anakunanga , na Hela Hana😂