Judithkaunda
Member
- Aug 21, 2022
- 90
- 231
Unakuta mwanaume anafamilia yake anakorofisha na mke wake anakwenda kutafuta mchepuka. Akifika huko na hasira zake anadanganya hajaoa au kaoa lakn hampendi mkewe, anaenda mbali zaidi anasema anampenda huyo mchepuko zaidi na yuko tayari kuachana na mkewe, hapo hajui km anatengeneza Bomu mchepuko anavimba kichwa nakuanza vitibwi kwa mke mwisho wa siku unaongeza matatzo unapata stress unatafuta mchepuko mwingne.
Kaka zangu semeni ukweli kama mnataka ku-Relax mchepuko ajue nafasi yake, mweleze kabisa unampenda mkeo licha ya migogoro mnayopitia ajue majukumu na mipaka yake kama unadate na mwenye akili atakuelewa.
Mmeambiwa muishi na sisi kwa akili. Na Kuna wanawake tumefikia hatua tukanyoosha mikono tumekubali chepukeni lakini hakikisha nafasi yangu inabaki pale pale kama mke na usiache kuwa baba Bora kwa wanao inatosha.
Au kunasababu nyingine inayopelekea mnaseme uongo?
HAYA FUNGUKENI UWANJA NI WENU.