Wanaume acheni uongo, ukweli utawaweka huru

Wanaume acheni uongo, ukweli utawaweka huru

Hapo ndio mnafeliiiiiii!! Kuanzisha vitimbwi kwa wake za jamaa zenu!!
Mipaka lazima iwepo na mke kama mke aheshimiwe kwa kiwango cha lami
 
Daaah bado mnateseka na mapenzi
received_2175059166009504.jpg
 
Pole sana ila wanawake bila kudanganywa mapenzi hayaendi.
 
We ukitaka kujua tunakupenda au hatukupendi subiri tukusuuzie rungu yaan tukishasuuza rungu ndo huwa tunaaza kumuona dem anakichwa kubwa mara anasura mbaya ila kabla hatujasuuza rungu tunakuona Beyonce na tunakwambia hatutaki wake zetu
 
Back
Top Bottom