Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,327
- 4,374
Sasa shida ya Nini usumbuke kutafuta ajira usumbuke na kujiuliza maswali ya mtu kukupa helaNajua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?
Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.
Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.
Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?
Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.
Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Sasa uniletee ninyandue harafu nikulipe nauli si ndiyo nimekuhonga kizuri nitakupa hela kwa wakati wangu kabisa ntakaopenda mieYaan tangia muanze mahusiano hajawahi kukupa hata mia?? Hata ile ya nauli ya kuzugia?
Ila nyie wanawake mna majanga yaani kutombw. A utombw. E wewe raha upate ww na pochi ijazwe duHajawahi Best
Ila nyie wanawake mna majanga yaani kutombw. A utombw. E wewe raha upate ww na pochi ijazwe du
[/QUOTE
Umekurupuka ndugu
HayaSasa uniletee ninyandue harafu nikulipe nauli si ndiyo nimekuhonga kizuri nitakupa hela kwa wakati wangu kabisa ntakaopenda mie
Hivi huwezi kuandika maneno ya kistaarabu.... UnaboaIla nyie wanawake mna majanga yaani kutombw. A utombw. E wewe raha upate ww na pochi ijazwe du
Pole nisamehe kwa mwandiko wa manzeseHivi huwezi kuandika maneno ya kistaarabu.... Unaboa
Umwage tuu huo ushauri uokoe jahazi.. mtaa wa pili huku bae katanguliwa na madada kuzaliwa.Kwa sifa hizo inaonekana huyo bwana ako ni mtoto wa mwisho kwao na waliomtangulia walikuwa ni watoto wa kike.
Kweli ama sio kweli?
Kama ni kwel nambie nikupe ushauri
Inaonekana haujui unachofanya,huyu ukimfanyia vitu exception atakuwa anakupa hela bila kumuomba!!Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?
Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?
Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.
Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.
Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?
Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.
Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Mwenzako anaomba pesa we unamuitia mapenzi!.Njoo kwangu mama, nitakupa mapenzi yote, utaishi hapa duniani kama peponi
Karibu pm ipo wazi
Umwage tuu huo ushauri uokoe jahazi.. mtaa wa pili huku bae katanguliwa na madada kuzaliwa.
Kwani umemuuzia mpaka akulipe?Yaan huwezi amini, anakuaga na unaondoka Kama ulivyokuja, sijawahi ona hi, na akikuaga anakwambia ukifika nijulishe[emoji4]
Yap jamaa Ana pesa , cheo na vyote ulivyosema
Ni kweli kabisa, inawezekana. ila nimekua anxious pia saabu mwenyewe nna dogo wa kiume na kwenye issue ya hela(kwa relationship) yuko so sensitive.. na ananiambia wazi kabisa. Wifi ajipange yeye sio type ya kutoa ela.Mbona nimetanguliwa na madada lakini sina izo tabia? Kuzaliwa wadada wa kwanza isiwe sababu tabia ya mtu kutokana na malezi wala sio kigezo cha kuzaliwa.
Ukiona katanguliwa na wadada yeye kawa wa mwisho jua kuwa mind yake ilisetiwa kulelewa na kuongozwa. Usikae ukasubiri akuoneshe kukujari Pasipo ww kumwambia.Umwage tuu huo ushauri uokoe jahazi.. mtaa wa pili huku bae katanguliwa na madada kuzaliwa.
Sex sio kipaumbele chetu ndio maana tunaweza kukaa miezi na miezi tusifanye.... Halafu umesahau kama maandiko yanasema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho?
Ni kweli kabisa, inawezekana. ila nimekua anxious pia saabu mwenyewe nna dogo wa kiume na kwenye issue ya hela(kwa relationship) yuko so sensitive.. na ananiambia wazi kabisa. Wifi ajipange yeye sio type ya kutoa ela.