Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

That's a stupid ego. Amka acha ujinga dada yangu au mdogo wangu. Usipende kutegemea mwanaume hata siku moja. Pamoja kivyavyako na ukifanikiwa hakika utaheshimika sana kuliko kulialia kuwa mwenzako hakujali. Unataka kusema kwamba mwanaume ndiyo suluhisho la matatizo yako? Kama ulianzisha mahusiano ili upate mwanaume wa kukuhudumia kwa kukupa hela umekwisha dada yangu. I take pity on you.

Nachukia sana wanawake wenye akili kama za kwako. Mungu akinijalia nikapata mtoto wa kike nitakuja kumfundisha kujitegemea na siyo utegemezi wa kijinga.
 

Kwahiyo huwa mnaanzisha mahusiani ili mwanaume akupe pesa? Ni sheria kwamba asipokupa ulalamike hapa na pale? Katika maisha ya uchumba watu hupimana kwa na namna mbalimbali huenda jamaa anampima mke wake kwamba siku akifulia hana hata senti moja je ataweza kumvumilia?

Hivyo msipende kuwa wepesi wa kuhukumu mtu bila kujua lengo la kufanya hivyo ni nini?
 
Kumpima Mtu ata Kama Anna shida ya dharura na pesa anayo, mbona vitu vingine anafanya kwa kutumia pesa, means Mimi so muhimu kwake
 
Nadhani hujaelewa mkuu, tangu nimeanza nae mahusiano sijawah muomba pesa Wala hajawahi kunipa, kwa Sasa nilikuwa katika kipindi Cha mpito Cha kukosa kazi na yy anajua, hivi kipindi Kama hiki kumsaidia mwenzako Kuna dhambii gani na si kwamba huna fedha?

Yaan we unaona Ni ufahari wa yeye kununua vitu vya gharama Kama viatu laki mbili huku alinionyesha nimchagulie kwa Tambo wakat mm ninemuomba Nina shida Tena bila kutaja kiasi, hivi huoni Kama huo Ni ubinafsi?

Kubali tu huyu Mtu Ni mchoyo na mbinafsi, over.
 
Kumpima Mtu ata Kama Anna shida ya dharura na pesa anayo, mbona vitu vingine anafanya kwa kutumia pesa, means Mimi so muhimu kwake
Kama ni kweli anakunyima mpaka ukiwa kwenye shida. Naomba ujitathimini mapema. Hakuna mwanaume ataacha kumsaidia mpenzi/mke wake wakati wa shida. Hata kama hana atakopa kwa watu ili atatue hilo tatizo. Labda kama hakupendi. Tupo wanaume ambao hatujui kubania pesa kwa wapenzi wetu.
 
Hapo Sasa nadhan umenisoma
 
Mkuu pole sana. Mkuu nimegundua kitu kimoja kutoka kwako kwamba wewe ni mwanamke hasa sema tu huyo jamaa anakuchukulia poa sana. Watu wanapata bahati sema tu wanashindwa kuzitumia hizo bahati zao. Ila ambao tunatamani tupate wanawake wa kaliba yako hatupati hata. Nimesikitika sana.
 
Hivi skia mahusiano unajua nn mahusiano no kupeana amani. Furaha upendo sw kukupa pesa nikuongeza upendo akupe au asikupe no yeye haupaswi kulalamika sw
 
Mkuu naomba nikucheki tuongee vizuri.
Mkuu nilishajiongeza tangu nimepost humu jf, kwa kujiondoa kwake simtafuti kwa simu wala text, Wala kwake siendi, nashangaa limtu Bado linang'anganiza kunitafuta ata hajiongezi,
 
Hivi skia mahusiano unajua nn mahusiano no kupeana amani. Furaha upendo sw kukupa pesa nikuongeza upendo akupe au asikupe no yeye haupaswi kulalamika sw
Siwezi lazimisha furaha wakati Sina, Ni Bora nisiwe na hayo mahusiano
 
1. Huyo ni Baba Yako?
2. Ni mumeo?
3. Mjomba wako?

Kwa nini unadhani ni haki yako kupewa pesa? Acha huo Ujinga. Kama mnapeana mapenzi inatosha

 
HII TRICK NI NZURI. INAMWANDAA MWANAUME ANAYEKUTONGOZA KUJA KUKUHUDUMIA. HIVYO ANAYEKUJA ANAKUJA KABISA AKIJUA ANAPASWA AWE ANAKU SPONSOR.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ MJINI HAPA AKILI KICHWANI. VIJANA WAPUUZI WATAMIMINIKA SANA NA ITAKUWA TU RAHISI WEWE KU REFER HII THREAD "UNAJUA LOVE HALI YANGU KAMA NLIVYOANDIKA KWENYE ILE THREAD"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nipe laki 3, nina dawa yankuzubaza wanaume, anakua anatoa pesa tuu, mshahara wote akipata anahamishia kwako.

Ni dawa toka congo lububashi, wengi imewasaidia na wengin wanaomba niqaongezee dozi ili, waume.zao wasahau hadi kwao
 
Mjini mipango
 
Hiyo ni akili yako na mawazo yako,siwezi kukulaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…