Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mwaka 2015 rasmi nilianza maisha ya kupanga ghetto.
Ile nyumba baba alikuwa tayari marehemu, jirani pia baba mwenye nyumba alikuwa marehemu. Bado wajane tu.
Nilipanga nyumba tofauti kama 5. Kati ya hizo ni nyumba moja tu nilimkuta baba mwenye nyumba, 4 zilizobaki wamebaki wanawake na watoto tu.
Sasa mtaa ninaoishi wazee waasisi wengi wameshakufa bado wake zao tu. Sasa nikafanya utafiti nikagundua kuwa wanawake kuna kipindi hawahitaji kuishi na waume zao kwasababu zao wenyewe.
Wanaona kama wako utumwani sasa wanapigana kukata minyororo ya ukoloni na utumwa.
Hapo kwenye harakati za kujitoa utumwani ndipo wanaume wanakufa na kuwaacha wakiwa wajane.
Wanaume amkeni, mtaisha.