Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

Hauelewi Biology labda, nature hata kwenye Animal kingdom ratio ya Wanawake wanaume 1:1, kunaweza kuwa na tofauti ndogo sana lkn huwa 1:1 na ndiyo maana Population ziko stable.

Labda nikuulize nini msamiati wa Kiswahili wa Mwanaume aliyefiwa na Mume? Mwanamke ni Mjane, je mwanaume?
Acha kurukaruka,huko nyumba kabla ya kujua kuchagua jinsia ya mtoto,wanawake walikua wengi zaidi ya wanaume,ili upate mtoto wa kiume ni mpaka uvizie,siku hizi tuna elimu hiyo tunachagua jinsia,hili likienea duniani wanawake watakua pungufu Kama china na India ambako mimba ikifika miezi mitano wakajua jinsia wanaitoa
 
mkoa wa manyara wanaume ni wengi kuliko wanawake
 
Si kweli kwamba kuna Uwiano Kibayolojia! Mwanamke ana XX mwanaume ana XY probability ya X ni kubwa kuliko Y.
 
Hauelewi Biology labda, nature hata kwenye Animal kingdom ratio ya Wanawake wanaume 1:1, kunaweza kuwa na tofauti ndogo sana lkn huwa 1:1 na ndiyo maana Population ziko stable.

Labda nikuulize nini msamiati wa Kiswahili wa Mwanaume aliyefiwa na Mume? Mwanamke ni Mjane, je mwanaume?
Mgane
 
Siyo kweli, Dunia nzima ratio ni 1:1, hata kwenye Animal Kingdom ratio ya jike/dume ni 50/50, na ndiyo maana population ziko stable!
Stability ya population inachangiwa na ratio ya sex distribution [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hyo ecology ya kijijini kwenu au?
 
Kwa nini? Mbona inajulikana na scientific community Dunia nzima kwamba ratio ni almost 1:1, ila kuna human factors mfano India Wanaume ni wengi sababu ya social environment na siyo biological, India mtoto mwanamke akijua ana mimba jinsia KE anafanya abortion hali inayopelekea wanaume kuwa wengi zaidi lkn hiyo ni social factor na siyo biological!
Acha porojo leta research paper inayo support your claims
 
Mwaka 2015 rasmi nilianza maisha ya kupanga ghetto.

Ile nyumba baba alikuwa tayari marehemu, jirani pia baba mwenye nyumba alikuwa marehemu. Bado wajane tu.
Nilipanga nyumba tofauti kama 5. Kati ya hizo ni nyumba moja tu nilimkuta baba mwenye nyumba, 4 zilizobaki wamebaki wanawake na watoto tu.

Sasa mtaa ninaoishi wazee waasisi wengi wameshakufa bado wake zao tu. Sasa nikafanya utafiti nikagundua kuwa wanawake kuna kipindi hawahitaji kuishi na waume zao kwasababu zao wenyewe.

Wanaona kama wako utumwani sasa wanapigana kukata minyororo ya ukoloni na utumwa.

Hapo kwenye harakati za kujitoa utumwani ndipo wanaume wanakufa na kuwaacha wakiwa wajane.
Wanaume amkeni, mtaisha.
Hesabu rahisi tu wastani wa kuishi let say 65yrs,mwanaume unaoa ukiwa na 30-40 na mkeo anakua 25-35 hapo unategemea aanze kufa nani wakuu hakuna uchawi hapo,mfano mimi nina above 38 na wife below 35 hapo unategemea aanze kufa nani?huo mfano mdogo tu lkn unakuta mwanaume anaoa na 30 na mke 22 hapo ukianza kufa wewe utasingizia nini?
Tukitaka waanze kufa wanawake basi iwe oa ukiwa na 30-35 na mwanamke awe 35-40 tuone nani ataanza kudanchi
 
Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao, lakini ni wajinga kwani wasichokijua ni kwamba Wanaume ni wachache kuliko Wanawake kwa sababu Wanaume wanakufa mapema kuliko Wanawake, Kibaologia uwiano kati ya Wanawake na Wanaume ni 1:1 Dunia nzima ila human factors kama vita, umaskini, njaa, magonjwa vinachangia nani aishi muda mrefu klk mwingine.

Hivyo Wanaume walipaswa wajiulize ni kwanini ni wachache? Ni kwanini wanakufa mapema? Kwa maana uwiano wa watoto wa kiume kike wanaozaliwa ni karibia sawa yaani 1:1 sasa nini kinatokea baada ya kuzaliwa hata Wanaume wapungue?

Next time angalia tu mtaani kwenu kuna wajane wangapi kulinganisha na wanaume waliopoteza wake zao kwa kifo?
Hayo uliyoeleza yanabeba mantiki, lakini uelewe pia watoto wa kike kwa idadi huzaliwa wengi zaidi kuliko wanaume, pitia mahosipitali wanakojifungulia kina mama uchukue takwimu utaupata ukweli.

Kuwa na wanawake wengi kuliko wanaume katika jamii kuna nanufaa mengi kuliko hasara.

Wee fikiria wanawake wangelikuwa wachache, wanaume wakawa wengi hali ingelikuwaje kwa nfano?

Wanaume kiasili tumeumbwa kupenda na kuchagua na kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja.

Bila utitiri wa wanawake dunia isingelifaa kuishi hii, kungelikuwa ni uwanja wa fujo kugombania wanawake kama wafanyavyo mbwa, mwenye nguvu ndiyo angemiliki!
 
Wanaume wana low life span na wanafanya risk job (boxing, soldier etc) na kuna other factors.
 
Back
Top Bottom