Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwa hiyo kusingekuwa inafanyika hiyo abortion bado nature ingefavour wanawake tu kama nchi nyingine
Human factor ndo zinafanya hiyo differences lakini nature factor siku zote wanawake ni wengi kuliko wanaume, case study ni hapa kwetu ambapo nature factor inatake place, wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa sababu sisi hatuna vita wala sera ya abortion kwa watoto wa kike.No, kungebalance, sasa hivi India Wanaume ni wengi zaidi wakati ilipaswa iwe karibia sawa, lkn point hapa ni kwamba kibaolojia ratio ya Wanawame na Wanaume ni 50/50 hata kwa Wanyama, ila kinacholeta uwiano mmoja kuzidi mwingine ni mazingira ya kidunia, kuna sehemu ambapo Wanawake ni wengi sababu ya Vita, Vita huuwa wanaume huuwa wengi zaidi na kuna sehemu Wanaume ni wengi zaidi kama India sababu ya culture yao inayo favor Wanaume zaidi lkn siyo nature!
Human factor ndo zinafanya hiyo differences lakini nature factor siku zote wanawake ni wengi kuliko wanaume, case study ni hapa kwetu ambapo nature factor inatake place, wanawake ni wengi kuliko wanaume kwa sababu sisi hatuna vita wala sera ya abortion kwa watoto wa kike
Hiyo ni nature haina haja ya kujiuliza kwanini wanawake ni wengi.
ila tunatakiwa kujifunza namna ya kuishi na wanawake kwa akili.
ukitazama kibailojia mwanaumea ana XY na mwanamke ana XX kwahiyo hapa mara nyingi XX ndo zina nguvu kuliko XY jamii yoyote kokote duniani wanawake ndio wengi kuliko wanaume .
ndo maana kuna dini zinataka wanaume waoe mke zaidi ya mmoja kama wanaume ni muadilifu
Hao UN wanakwambi ni 1:1 ni kwa sababu ni ratio, kama umesoma hesabu bila shaka unajua maana ya ratio, hata hii population yetu kwenye mfumo wa ratio ni 1:1 lakini huwezi kutoa uhalisia kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaumeNani amesema hivyo ? Hata UN inatambua kwamba ratio ni karibia 1:1 sasa wewe hizo data zako kwamba Wanawake ni wengi umezitoa wapi?
Hakuna cha kufurahisha hapo, Ila usiombe idadi ya wanaume rijali wakawa wengi kuliko wanawake, hii itakuwa vita ya dunia hadi wanawake wawe wengi ndo itaisha.Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao, lakini ni wajinga kwani wasichokijua ni kwamba Wanaume ni wachache kuliko Wanawake kwa sababu Wanaume wanakufa mapema kuliko Wanawake, Kibaologia uwiano kati ya Wanawake na Wanaume ni 1:1 Dunia nzima ila human factors kama vita, umaskini, njaa, magonjwa vinachangia nani aishi muda mrefu klk mwingine.
Hivyo Wanaume walipaswa wajiulize ni kwanini ni wachache? Ni kwanini wanakufa mapema? Kwa maana uwiano wa watoto wa kiume kike wanaozaliwa ni karibia sawa yaani 1:1 sasa nini kinatokea baada ya kuzaliwa hata Wanaume wapungue?
Next time angalia tu mtaani kwenu kuna wajane wangapi kulinganisha na wanaume waliopoteza wake zao kwa kifo?
Nasikia,mwanamke anapojifungua mtoto wa kiume hata nesi anaemzalisha hufurahia sana na hupewa pongezi nyingiKusema kwamba tunakufa mapema sio factor pekee tu, hata ukienda mahospitalini watoto wa kike ndo wanazaliwa wengi kuliko wanaume, n hii ni biological nature
exactly, akisha zaa watoto wakawa na pesa wakamjali sana hata kuliko wewe, anaona ufe aweze kusihi kwa uhuru zaidi na wanawe. Uko sahihi kabisa.Sasa nikafanya utafiti nikagundua kuwa wanawake kuna kipindi hawahitaji kuishi na waume zao kwasababu zao wenyewe.
Hao UN wanakwambi ni 1:1 ni kwa sababu ni ratio, kama umesoma hesabu bila shaka unajua maana ya ratio, hata hii population yetu kwenye mfumo wa ratio ni 1:1 lakini huwezi kutoa uhalisia kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume
Mimi sitakufa mapemaMajibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao, lakini ni wajinga kwani wasichokijua ni kwamba Wanaume ni wachache kuliko Wanawake kwa sababu Wanaume wanakufa mapema kuliko Wanawake, Kibaologia uwiano kati ya Wanawake na Wanaume ni 1:1 Dunia nzima ila human factors kama vita, umaskini, njaa, magonjwa vinachangia nani aishi muda mrefu klk mwingine.
Hivyo Wanaume walipaswa wajiulize ni kwanini ni wachache? Ni kwanini wanakufa mapema? Kwa maana uwiano wa watoto wa kiume kike wanaozaliwa ni karibia sawa yaani 1:1 sasa nini kinatokea baada ya kuzaliwa hata Wanaume wapungue?
Next time angalia tu mtaani kwenu kuna wajane wangapi kulinganisha na wanaume waliopoteza wake zao kwa kifo?
Hiyo hiyo tofauti ndogo haiondoi kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaumeHata wewe kama ungejua hesabu hata majibu ya sensa ya Tanzania yangekuonyesha kabisa kwamba tofauti ni ndogo ukichukulia ukweli kwamba Wanawake wanaishi muda mrefu zaidi ya Wanaume, hivyo sensa ilihesabu wajane pia pia ambao ni wengi sana klk Wanaume hivyo kama uki factor in kila kitu unapata ~1:1!
Hiyo hiyo tofauti ndogo haiondoi kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume
Sasa mbona kufurahia (heading) sensa does not match with the content of your postHi!
Mwaka 2015 rasmi nilianza maisha ya kupanga ghetto.
Ile nyumba baba alikuwa tayari marehemu, jirani pia baba mwenye nyumba alikuwa marehemu. Bado wajane tu.
Nilipanga nyumba tofauti kama 5. Kati ya hizo ni nyumba moja tu nilimkuta baba mwenye nyumba, 4 zilizobaki wamebaki wanawake na watoto tu.
Sasa mtaa ninaoishi wazee waasisi wengi wameshakufa bado wake zao tu. Sasa nikafanya utafiti nikagundua kuwa wanawake kuna kipindi hawahitaji kuishi na waume zao kwasababu zao wenyewe.
Wanaona kama wako utumwani sasa wanapigana kukata minyororo ya ukoloni na utumwa.
Hapo kwenye harakati za kujitoa utumwani ndipo wanaume wanakufa na kuwaacha wakiwa wajane.
Wanaume amkeni, mtaisha.