Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

Mm hua natumia shaver za umeme zile. Unakaa mkao unavokaa ikiwa unajisaidia haja kubwa then unanyoa vzr tu...
 
Nimesoma huku nacheka sanaa... ila una chuchuma the unaweza tumia nova(kinyozi kidogo ) unanyoa simple tu but uwe makini
 
Wanaume mmekuwa judgemental kwa mleta mada bila sababu za msingi.

Je, mnaishi bila kunyoa nywele za nyuma? How mnaishi bila kunyoa, hazikeri?

Ninachojua, asilimia kubwa ya wanaume wana nywele za makalio na zinakera kweli kweli yani[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…