Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

Miaka yangu yote nimekuwa nikijiuliza sana hukusu hizi nywele sijawahi kuzinyoa ila sometime seems like zinakera ndo nauliza hua mnazinyoa na mnazinyoaje wakuu stailstail gan mnakaa

Pia kama hazitolewi tuelezane kwa wenye swali hili natumai leo tutapata majibu toka kwa baba na kaka zetu

WANAOHUSISHA UZI HUU NA UPINDE WAAMBIE WAACHE KUWAZA UJINGA ALL THE TIME MIMI NIMEULIZA WANAUME WENZANGU NINGEKUWA NIMELEFT NINGEANZA NA KUSEMA MASHOTI ET NYWELE HUNYOLEWA MNAKUWA KAMA VIAZI VYA LUBUMBASHI KENYA
Hizo nywele hazinyolewi, ni kizuizi kinachokukumbusha kila sekunde kuwa huko hakutakiwi kuingizwa kitu kingine chochote
 
Sasa ndio nimegundua kwanini watu wanadai katiba mpya kwa haraka sana,maana kama mpaka imefikia kuulizana nywele za makalioni zinanyolewaje,inaonyesha kabisa tunakolelekea sio kuzuri...
 
Unachuchumaa tu mkuu unayapunguza saafi kabisa sio kunyoa mpaka kipara, hayo manywele yakiwa mengi ndio unakutaga mtu anatembea halafu nyuma kwenye location ya spika pameloana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah jau uko kuloa sasa ujikati? Au unatumia mkasi
 
Sasa ndio nimegundua kwanini watu wanadai katiba mpya kwa haraka sana,maana kama mpaka imefikia kuulizana nywele za makalioni zinanyolewaje,inaonyesha kabisa tunakolelekea sio kuzuri...

Bhna ule ni uchafu kama nyasi zipo nying uki zitoe unatunza bakteria wasio na humuhimu
 
Back
Top Bottom