mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Mhhh mi nalala dadaangu.... Huku kwetu handeni wenyewe tunalala mapemaSawa kaka karibu tuchangamshe genge usikh upite.
Eti mrembo [emoji2][emoji2][emoji2]Mrembo jaribu kutumia polite language
jamani basi ai amu soreeeNtaacha kuwachekesha unanicheka
Au nimekosea mrembo?Eti mrembo [emoji2][emoji2][emoji2]
Huwa tunacheat kwa hisia mara nyingi. Nyie wanaume huwa mnacheat basi tu. Ila sisi mpaka mwanamke akacheat na mwanaume mwingine omba iwe amecheat kwa pesa la sivyo andika maumivu.Kwa nini inakuwa ndo kwa heri?
Tatizo huwa mnawaza kupendeza with those hairstyles na swaga zingine, ambazo without money you can't.Ila kweli sisi tuna tamaa sana hasa ukute mwanamke wako ni wale wanaopenda pesa. Wanawake wanaorukaga kiunzi cha pesa ni wachache sana.
Mme nalala mie baki na mzigua ,,keshoNjoeni jamani tusaidiane.
Ni akili tu. Kwa upande wangu huwa naamini hela sijui hizo material thing huwa zinapita na ni ngumu sana kupata mapenzi. So bora nibaki na wig yangu moja ila niko na mtu ninaempenda.Tatizo huwa mnawaza kupendeza with those hairstyles na swaga zingine, ambazo without money you can't.
kwahio Mama sabrina mimi nina Gubu?Wenhtakujibu hata kesho naonge na shemeji yakp jamani mbona kaka una gubu
Hili hata mimi mara nyingi limenitokea, sasa kudhibiti hii issue ninzuga sana na kuondoka eneo hilo na kuto onana kwa muda mrefu na huyo mwanamke. Huwa ni ugomvi wanawake wanaanzisha visababu vya hovyo ili akupate wewe.Binafsi hili nilikua naliona hili tatizo tangu zamanii sana. Japo sijawahi kuelezea hii hali. Nimekupa Big up sana kwasababu kwasababu umelieleza inavyotakiwa haswa na kwa ujasiri mwingi.
Cause Wanaume wengi huamini mwanamke hajitambui na yule anayechepuka ni lazima atakua malaya tu. Kumbe nao wana vigezo nao wana vimisi ile sana tu.
Mie nilikua, handsome fulani amazing zamani za ujana. Sasa nakumbuka nikiwa na washkaji zangu.
Nimeshajikuta naonekana mporaji wa mademu za watu kwasababu hii. Yaani mshkaji anataka anikutanishe na demu wake anitambulishe.
Demu anaponiona tu, anaanza flirting za hapa na pale. Mapema Asubuhi mpaka najua.
Demu Mwingine anaamua kuja kukuletea matatizo ya jamaa yake. Kumbe anakutaka kinamna.
Mwingine ukiwa naye, ukimgusia demu na kumsifia jamaa yake kwa chochote.
Unamuona demu hapendi hayo mastori. Anakasirika sana. Hapo mwanaume najua hampendi mshkaji.
Sasa ili ku make peace unaamua unaamua kupotezea stori za hivyo.
Ila sasa ukithubutu kumtongoza unakua, kama umemsukuma mlevi. anakuvamia kwa french kiss mapema sana.
Mwisho anakupa apple unaanzia kujilia kwa siri.
Sasa mapenzi hayana siri, jamaa yake akijua kasalitiwa si anaanzisha ugomvi fulani.
Baad aya kutoka hapo, Ghafla Unamuona demu anavyofurahi. Hajutii kusaliti mahusiano yake.
Yaani mwili wake unasisimka kwa furaha na kicheko cha raha fulani( sio cha kulazimisha), mpaka unajua kweli demu amekolea kwako.
Na alikua anaombea mahusiano na jamaa yake yafe siku nyingi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe free yupo tayari achana na hao kwanza kasema hapendi michepuko,ila tu usiniulie mme tumpeleke taratibu shooga maana we mbio zako kama bolt aku keshakubali kutusitiri
I wish I wasn't married. Ningekupiga sound aisee. Nimependa hako kamsimamo. Kamenishawishi. Hahahahahahaha.Ni akili tu. Kwa upande wangu huwa naamini hela sijui hizo material thing huwa zinapita na ni ngumu sana kupata mapenzi. So bora nibaki na wig yangu moja ila niko na mtu ninaempenda.
Unalo kidogo sasa unanibananisha mme atakimbia we si upo tukwahio Mama sabrina mimi nina Gubu?
njoo nikuoe mimiTuoe wotw bwana wanaume wenyewe wachache nyie.
Binti akikamatia ubo.oo huyu hatoki jamani ,bora mimi huyuu ptuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wewe sio mrembo?Eti mrembo [emoji2][emoji2][emoji2]
Umesema ugomvi nimekumbuka rafiki yangu alinikasirikia kisa kuna kaka alikua ananitaka mimi simtaki na kumbe rafiki angu kamuelewa huyo kaka. Sasa yule kaka alivyoondoka sijui nilifanga nini. Jamani rafiki angu alinisema mpaka tukagombana ugomvi mkubwa. Kesho yake ndo akaniambia alikua na hasira na mimi kwanini yule kaka ananitaka mimi na sio yeye.Hili hata mimi mara nyingi limenitokea, sasa kudhibiti hii issue ninzuga sana na kuondoka eneo hilo na kuto onana kwa muda mrefu na huyo mwanamke. Huwa ni ugomvi wanawake wanaanzisha visababu vya hovyo ili akupate wewe.
Duh!Huwa tunacheat kwa hisia mara nyingi. Nyie wanaume huwa mnacheat basi tu. Ila sisi mpaka mwanamke akacheat na mwanaume mwingine omba iwe amecheat kwa pesa la sivyo andika maumivu.
Usiku mwema mke.Mme nalala mie baki na mzigua ,,kesho
Naheshimu mapenzi mimi. Naamini hela zinatafutwa zinapatikana ila kupata true love sio jambo dogo.I wish I wasn't married. Ningekupiga sound aisee. Nimependa hako kamsimamo. Kamenishawishi. Hahahahahahaha.