Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Ila kweli sisi tuna tamaa sana hasa ukute mwanamke wako ni wale wanaopenda pesa. Wanawake wanaorukaga kiunzi cha pesa ni wachache sana.
Tatizo huwa mnawaza kupendeza with those hairstyles na swaga zingine, ambazo without money you can't.
 
Tatizo huwa mnawaza kupendeza with those hairstyles na swaga zingine, ambazo without money you can't.
Ni akili tu. Kwa upande wangu huwa naamini hela sijui hizo material thing huwa zinapita na ni ngumu sana kupata mapenzi. So bora nibaki na wig yangu moja ila niko na mtu ninaempenda.
 
Binafsi hili nilikua naliona hili tatizo tangu zamanii sana. Japo sijawahi kuelezea hii hali. Nimekupa Big up sana kwasababu kwasababu umelieleza inavyotakiwa haswa na kwa ujasiri mwingi.

Cause Wanaume wengi huamini mwanamke hajitambui na yule anayechepuka ni lazima atakua malaya tu. Kumbe nao wana vigezo nao wana vimisi ile sana tu.

Mie nilikua, handsome fulani amazing zamani za ujana. Sasa nakumbuka nikiwa na washkaji zangu.

Nimeshajikuta naonekana mporaji wa mademu za watu kwasababu hii. Yaani mshkaji anataka anikutanishe na demu wake anitambulishe.

Demu anaponiona tu, anaanza flirting za hapa na pale. Mapema Asubuhi mpaka najua.

Demu Mwingine anaamua kuja kukuletea matatizo ya jamaa yake. Kumbe anakutaka kinamna.

Mwingine ukiwa naye, ukimgusia demu na kumsifia jamaa yake kwa chochote.
Unamuona demu hapendi hayo mastori. Anakasirika sana. Hapo mwanaume najua hampendi mshkaji.

Sasa ili ku make peace unaamua unaamua kupotezea stori za hivyo.

Ila sasa ukithubutu kumtongoza unakua, kama umemsukuma mlevi. anakuvamia kwa french kiss mapema sana.

Mwisho anakupa apple unaanzia kujilia kwa siri.

Sasa mapenzi hayana siri, jamaa yake akijua kasalitiwa si anaanzisha ugomvi fulani.

Baad aya kutoka hapo, Ghafla Unamuona demu anavyofurahi. Hajutii kusaliti mahusiano yake.
Yaani mwili wake unasisimka kwa furaha na kicheko cha raha fulani( sio cha kulazimisha), mpaka unajua kweli demu amekolea kwako.

Na alikua anaombea mahusiano na jamaa yake yafe siku nyingi...
Hili hata mimi mara nyingi limenitokea, sasa kudhibiti hii issue ninzuga sana na kuondoka eneo hilo na kuto onana kwa muda mrefu na huyo mwanamke. Huwa ni ugomvi wanawake wanaanzisha visababu vya hovyo ili akupate wewe.
 
Wewe free yupo tayari achana na hao kwanza kasema hapendi michepuko,ila tu usiniulie mme tumpeleke taratibu shooga maana we mbio zako kama bolt aku keshakubali kutusitiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni akili tu. Kwa upande wangu huwa naamini hela sijui hizo material thing huwa zinapita na ni ngumu sana kupata mapenzi. So bora nibaki na wig yangu moja ila niko na mtu ninaempenda.
I wish I wasn't married. Ningekupiga sound aisee. Nimependa hako kamsimamo. Kamenishawishi. Hahahahahahaha.
 
Hili hata mimi mara nyingi limenitokea, sasa kudhibiti hii issue ninzuga sana na kuondoka eneo hilo na kuto onana kwa muda mrefu na huyo mwanamke. Huwa ni ugomvi wanawake wanaanzisha visababu vya hovyo ili akupate wewe.
Umesema ugomvi nimekumbuka rafiki yangu alinikasirikia kisa kuna kaka alikua ananitaka mimi simtaki na kumbe rafiki angu kamuelewa huyo kaka. Sasa yule kaka alivyoondoka sijui nilifanga nini. Jamani rafiki angu alinisema mpaka tukagombana ugomvi mkubwa. Kesho yake ndo akaniambia alikua na hasira na mimi kwanini yule kaka ananitaka mimi na sio yeye.
 
Back
Top Bottom