Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Kuna siku rafiki yangu mmoja aliniambia twende national park moja friday to sunday. Yeye alishauambia mchepuko wake, mimi kucheki huku na huku nikaamua nimchukue my on-off chick.
Huyo rafiki yangu hela anazo nyingi sana ni wale type ukimuona tu unajua yuko vizuri sana. Jamani demu wangu tulimpitia sehemu nilivyomu-introduce kwa jamaa aisee hakuweza kuficha admiration yake kwa jamaa, kwa sababu niko smart nilisoma mchezo. Tulivyorudi ndio ilikuwa mwisho wangu na yeye for good.
Wengine tuna bahati mbaya au sijui niseme nzuri marafiki zetu wametuzidi hela ila tunaheshimiana.
Na demu wako akifikia hatua hiyo hakupendi. Hizo tunakuaga nazo kwa wanaume tusowapenda. Kama nakupenda hata waje watu wana nini nitaadmire sawa ila siwez mtamani huyo mwanaume.
 
Wewe ndio walewale, wakubadili sampo. Nashindwa kukutofautisha na mtu anayeenda hotel anaambiwa agiza chochote unachopenda anaagiza chips nyama, akiona mtu kaletewa rost maini, anaanza, samahani waiter nimegaili namimi naomba niletee kama huyu..
Sampuli ya wadada kama wewe ni wadada wasiojua wanachotaka katika maisha,they are cheap,wanaburuzwa sana, wamegeuka madampo kila taka wanatupiwa.
Ishasemwa SAWA UMEPEWA UZURI ILA BILA AKILI ZITAKAZOUMIA NI SEHEMU ZA SIRI.
maisha ni kuridhika mdada, na kujivunia ulichonacho unconditionally,
Leo wajiona mzuri ila sikuombei ni mfano tu..
Uliyenaye ukipata ajali ukaharibika uso,au ukawa kilema akuache kwa sababu tu you look filthy kwa macho ya watu.
Change how you think about love Dada.
LOVE IS BLIND.

kama mama yako unavompenda, Inamaana Angekuwa na kasoro ungetafuta mwingine.

Mwanamke unatakiwa kuwa na sifa ya kuringa kidogo, ila ukiwa na sifa za dharau kiasi hicho, utahesabu sana miaka na itafika wakati utamkumbuka hata Yule ulimwonaga ana kasoro lakin wakati huo utakua ni too late.
Don't abandon the rag for the passing mate.
Be course Unachokiacha pwani leo kesho utakikuta ufukweni.
 
Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
Hahaaaa nimecheka hatariii, kumbe anachosema Mama Sabrina ni kweli eeh
 
tatizo lako unapenda sana kuzurura viwanja..
 
Kama umemchoka baba sabrina si usepe tu ndio unakuja kumsemea jf umeanza tabia za kile kibibi kinacho jiita super woman cha wanawake live we kama umepata njemba jipya sepaa
 
Na demu wako akifikia hatua hiyo hakupendi. Hizo tunakuaga nazo kwa wanaume tusowapenda. Kama nakupenda hata waje watu wana nini nitaadmire sawa ila siwez mtamani huyo mwanaume.
Mhhhh akikutaka utakataa? Kuna kesi nyingi sana wake/gf kugongwa na marafiki wa men wao. Mtu anaweza kuwa anakupenda ila mapepe. Ni sawa na wanawake/wanaume wanao-cheat sio kwamba wote hawapendi watu wao.
 
Kuna siku rafiki yangu mmoja aliniambia twende national park moja friday to sunday. Yeye alishauambia mchepuko wake, mimi kucheki huku na huku nikaamua nimchukue my on-off chick.
Huyo rafiki yangu hela anazo nyingi sana ni wale type ukimuona tu unajua yuko vizuri sana. Jamani demu wangu tulimpitia sehemu nilivyomu-introduce kwa jamaa aisee hakuweza kuficha admiration yake kwa jamaa, kwa sababu niko smart nilisoma mchezo. Tulivyorudi ndio ilikuwa mwisho wangu na yeye for good.
Wengine tuna bahati mbaya au sijui niseme nzuri marafiki zetu wametuzidi hela ila tunaheshimiana.
Pole RRONDO ndio maana nikatoa ushauri hapo juu mim nawapendeni mno mimi MamaSabrina
 
Mhhhh akikutaka utakataa? Kuna kesi nyingi sana wake/gf kugongwa na marafiki wa men wao. Mtu anaweza kuwa anakupenda ila mapepe. Ni sawa na wanawake/wanaume wanao-cheat sio kwamba wote hawapendi watu wao.
Nakataa. Mimi niko loyal sana nikipenda. Siwezi tembea na mtu unaemjua kwa sababu ana hela.
 
Haa ha..!! Yani kama Unaangali hivyo Vigezoo vya Kuzidiana hakunaa Alikamilikaa na yuko vizuri kwa kila kituu soo Jipangeee kutangatanga sanaa na kugongwaa sanaa.. Maana utakuwa na smart na ana helaa hajuu kutoo...untapata anajua kuto na anajali sio smart.. SOO RIZIKAA NA ULIENAEE MAANA HAKUNA ALIEKAMILIKA 100%...HAYUPOOOO
 
Na demu wako akifikia hatua hiyo hakupendi. Hizo tunakuaga nazo kwa wanaume tusowapenda. Kama nakupenda hata waje watu wana nini nitaadmire sawa ila siwez mtamani huyo mwanaume.
Yap mahusiano ya kupita pita unapinduliwa lakin kama bebe unamkubali huwezi kutuhubutu,kwanza wakikukonyeza jicho tu unampa alarm bebe
 
Nakataa. Mimi niko loyal sana nikipenda. Siwezi tembea na mtu unaemjua kwa sababu ana hela.
Inawezekana husomi unachoandika. Rudia post yako na jamaa mwenye Carina. Wewe unawakilisha wanawake wengi, akitokea mtu bora kuliko mtu wako au mtu anaekufukuzia akakukutanisha na rafiki zake unabadili gear angani. Hamna cha ajabu wala kibaya ni nanature.
 
Back
Top Bottom