Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

Hulka zako tuu, wenzio wanatumia iyo nafasi kama sehemu ya inspiration yakufanya vizuri kimaisha kama hao friends walivyo.
 
Nae ni mchepuko vile vile
Haa ha ha....!! Ndo shida ya wadada mkipata mbaba au mbabu mwenye helaa unajiona ka wew ndo mwenye malii sasa...kumbe kidampaa kama wenzio wengine tuu.. MWENYE MALII KATULIA...
 
Haa ha ha....!! Ndo shida ya wadada mkipata mbaba au mbabu mwenye helaa unajiona ka wew ndo mwenye malii sasa...kumbe kidampaa kama wenzio wengine tuu.. MWENYE MALII KATULIA...
Unaumiiiaa
 
Calm down mtoa post. Embu kunywa maji kwanza coz umekuja res kama ulikuwa unafukuzwa na simba.
Haya kujib mada yako ni hiv, unavyoita wanaume malaya, je ww ?
Umalaya hauna jinsia, umalaya ni hulka ya mtu binafs, na si hulka ya jinsia flani, so kama mumeo au ww mwenyewe wote ni mnatamaa za kijinga and yes always mtakuwa hivyo hivyo.
Kama umeolewa tumia busara, ungemuita mumeo pemben umwambie, sio unakuja lalamika jf.
 
Mama Sab ukweli wa leo mchungu sana, ila sisi wanaume tunakuwaga wajanja siwezi nikakuita sehemu alafu rafk zangu wako peke yao no way,

na kama bado nakutongoza ndo kabisaa siwezi kukuktanisha na mshkaji...wanaume ss ni maFisi tu,
tena mshkaj akijua ndo nakufukuzia na hujaeleweka bado anaweza kuniambia nikupotezee kumbe anakuvizia yeye hahaha
 
Kuna kaka mmoja ananipendaga miaka na miaka. Ana kundi lake wanacheza mpira kila jumapili. Sasa siku akanialika uwanjani. Kufika jamani. Picha linaanza kaja kunichukua na Carina. Kufika uwanjani marafiki zake sasa. Sijui huyu anafanya wapi mara yule wapi na yeye ni mwalimu unaona range benz harrier etc. Vitu vizuri vizuri tu. Wanavyovyaa. Wanavyonukia. Hapo kawaambia mimi demu wake jamani. Kundi lina wakaka wazuri na wa maana sema ndo vile hamna mwenye nguvu ya kunitaka wanamuogopa mwenzao. Na nilishawaambia sio bwana angu ila wao hawaelewi. Kuna mmoja yuko voda nina crush nae hadi kesho. Siku nimekutana nae TIPS akaniita shemeji nusu nimtukane basi tu sikua nimelewa ananiitaje shemeji wakati nampenda.
hahaha
 
Niumie mimi akati ni maisha yakoo bimaza...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haya taratibu sasa
 
Back
Top Bottom