Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wajibu wa baba kumtunza mama na mtoto. Kama mtu hana uwezo wa kutunza mtoto na mama ni bora awe singleLakini wanavyoandika Kwa hasira ni kama Hawajui wajibu wao
Mkuu swalama!Ukisikia paaaaaa, ujue pancha...tumia Oko
Nasemaje hii ndio kwanza imeanza mtakuwa masingo maza wengi kiasi kwamba mkienda kwa Mwamposifya kila unaegeuka nae ni singo maza mpaka mwamposifya nae atawachoka mana mpo wengi sana , badilikeni muwe na akili timamu muache akili za kushikiwa , tambueni kuwa huko tunakoelekea ni kugumu kuliko huko tunakotoka , hacheni ujinga wenu ndani ya hivyo vichwa vyenu.Watoto watateseka sana jamani
Hela ya kiberiti ,chumvi , pilipili yaani hawa hawajitambui kabisa , tambueni kuzaa mtoto sio kigezo au kinga kwako you will be in trouble allways kama hautabadilika.... change your mind from north to south and west to eastHila na nyie wanawake mnaomba sana kisa kuzaa ndo uniombe mpaka hela ya kiberiti
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Kiukweli huu ujana baadae utakuja kuwafanya wajuteLa sivyo muache kuwataka wake zenu au wapenz wenu wazae.....msitese watoto....watoto hawana hatia.Wanaume wajibikeni katika familia zenu tafadhali
KabisaLa sivyo muache kuwataka wake zenu au wapenz wenu wazae.....msitese watoto....watoto hawana hatia.Wanaume wajibikeni katika familia zenu tafadhali
Afu wanakuja kutukana single mom humuKiukweli huu ujana baadae utakuja kuwafanya wajute
Una mtia demu mimba kisha unajiona mjanja kukimbia 😀😀 kweli usela vima ..mwanaume mjanja lzm ufanye maamuzi ujue wakat gan sahihi wa kuzaa na ni demu gan uzae nae ..
Sawa mkuu AsanteHela ya kiberiti ,chumvi , pilipili yaani hawa hawajitambui kabisa , tambueni kuzaa mtoto sio kigezo au kinga kwako you will be in trouble allways kama hautabadilika.... change your mind from north to south and west to east
Sawa mkuuNasemaje hii ndio kwanza imeanza mtakuwa masingo maza wengi kiasi kwamba mkienda kwa Mwamposifya kila unaegeuka nae ni singo maza mpaka mwamposifya nae atawachoka mana mpo wengi sana , badilikeni muwe na akili timamu muache akili za kushikiwa , tambueni kuwa huko tunakoelekea ni kugumu kuliko huko tunakotoka , hacheni ujinga wenu ndani ya hivyo vichwa vyenu.